Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua

Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]

NB

Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee dea lol.
 
Nyie hampajui masaki nyie. Mie nilikaa huko wakati nafanya kazi serikali kuu. Watoto wangu walikuwa wanacheza mpira ukaingia kwa jirani mgiriki mmoja Mafia. Dogo aliruka ukuta aufuate wakati amepanda juu nilisikia mlio wa risasi imepigwa juu. Na mtoto alikuwa below six.
Bahati ile risasi ilimkosa
Kheeeeh huyo mgiriki hakuwa timamu kiakili? Mtoto bellow six unarushaje risasi khaaaaah
 
Ka Mariyoo kametamani mkwanja kameua mpenzi wake. Noma sana.
 
Kwahiyo unataka kumaanisha nn?
Hata sijui dada labda wewe iwe Kama ulivyoelewa mwenyewe.mana others see big picture other see details , someone thinks laterally while me I think linear and so on na bado maisha yanaenda kwa jinsi ya tofauti yetu zetu zilizopo
 
mkuu Mimi. msiba umefanyikia wapi? na kuna habari gani mpya aisee hii kesi ifuatiliwe

Alizikwa makabuli ya Kondo bahari beach kule , misiba iliwekwa sehemu mbili kwa mama wa Marehemu Mbezi beach Africana na kwa wakwe Mikocheni karibu na Tips (huko ukweni baba na mama walishafariki pia ) kwa hiyo wamebaki ndugu wa marehemu mume wa Emmy ambao wanaweza kutenda hili tukio by 95% kwa sababu ndugu wa mume hawanaga uchungu na familia ya kaka

tofauti na wangekuepo wazazi wao labda haya yasingetokea

Kama Familia ya Emmy na wao waliamua kuweka Msiba kwao Ina maana kuna kitu wanakijua , ndio maaana hawakutaka kushiriki kule zaidi ya kwenda makaburini

Hii case naona imekua kimya sijui police wanakuja na story gani wanajipanga
 
Mbona nguvu kubwa mnataka itumike bana. Raslimali za Taifa letu.
Mbona Kuna mauaji yanatokea huko kwingineko na sijawahi ona hii nguvu
Kwa hiyo justification yako Hii case hisifatiliwe kwa Kua Kuna watu wanakufa kwingineko?!

Very Stupid Justification , wewe utakua unahusika
 
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Hela atakula vp huyo boyfriend kama alishindwa kuwa m'bunifu

1.Kuingia uvinza/kupiga deki
2.Kumwaga maji
3.Kuchambua vitabu vya kushoto na kulia na kuzihesabu hizo karatasi zipo ngapi

NB. Kula pesa ya mwanamke nirahisi kama kama unazijua mbinu za mahabati
 
hiko wapi hiyo nguvu kubwa ya kijeshi iliotumika?embu tupe taarifa Mpya ya jeshi la police ukiacha hile waliotoa Mwanzo ya kujikanyaga kanyaga kama umeona kuna resources nyingi zinatumika
Mkuu umedadavua vizuri tuendelee kukaza humu humu mpk habari ifike juu na haki itendeke.Damu ya mtu ni nzito tuwaombee haki itendeke.
 
Mume kafa karibuni.
Alikuwa tajiri.
Kaacha mke na watoto.
Mali inabaki kwa Mke na Watoto.

Sio mgogoro wa Mirathi kweli huu ?

Ngoja tukae tusubiri

RIP mama, huenda wanakusingizia bure mambo ya viben teni.
RIP watoto wazuri.
Mama huenda hana kosa.
 
hiko wapi hiyo nguvu kubwa ya kijeshi iliotumika?embu tupe taarifa Mpya ya jeshi la police ukiacha hile waliotoa Mwanzo ya kujikanyaga kanyaga kama umeona kuna resources nyingi zinatumika
Wewe umesema kuwa mpaka undercover ya jeshini itumike jamani,yaani Tiss na police wote.
Unatakiwa ujue distinction ya kazi ya hayo majeshi ndugu.
Yaani wewe unajua undercover wa military kazi Yao Nini ama rejea pale nilipo quote ulichoandika ama umeshasahau ndo Mana unaniuliza Tena kuwa nguvu kubwa iko wapi.
Nimekuambia hii ishu ndogo police ikajitosheleza jamani.
Na sio kusema kitu ambacho hujui kina matumizi gani.
Hebu tafuta captain ama major hapo jirani yako umuulizie undercover wa jeshini Wana kazi gani.

Mfano mdogo Kuna kichaa alikuwaga pale railway muda ule 1978/79 tunapigana na idd ,huyo ni kichaa afu ni bubu yaani kula Sana jalalani,alikuwa na makopo yake ya kutosha.
So treni ikiondoka kuja bara ama huku lake zone anakuwa anaona ni Nini kinasafarishwa.
Kuna dereva wa fuso alikuja kumtoa bana alilia Sasa kumbe ilikuwaga ni redio call pia alikuwa mjeda wa uganda.
Pia Kuna mjeda anaweza akawa ndani yetu kumbe ni pandikizi tokea Malawi ama Kenya ivi so anavujisha Siri kule na pia anaweza akajifanya Tena anauzia Tanzania Siri.
Yani anakuwa two sword edged spear.
Undercover bana mpaka nashindwa kumuelezea vizuri.
Nimeumia huyo dada kukatishwa uhai na hao watt bado ni wadogo Tena innocent gorgeous babies.
Ila kifo Chao kutafutwa chanjo sio kuwa jeshi litumike.
Resources za ku train Soulja ziko juu Mana nahitaji yake ni makubwa anapambana na maadui wa nje Ila police anapambana na maadui wa ndani.
Ni Kama paka na mbwa.paka anaua panya mende ndani ya nyumba Ila mbwa atapambana na fisi akivamia zizini kula mbuzi dada.
So huwezi kumleta mbwa aue panya.
I have tired to write na case closed for me to replay you.
Shida ya billioni Mia wewe unaomba msaada wa trillion kumi.
 
Nani Ametaja jeshi hapa ???! Kumbe kuna wanajeshi undercover( Afisa kipenyo) 😳😳??? Au TISS ndio Kuna under cover ? Unaonekana haujui kitu sio lazima uchangie mkuu

TISS kuna wapelelezi pia kwani wakitumika shida yako ni nini.? Mbona kama umepanick
 
Maandishi yanayoandikwa hapa yamejaa makosa ya kisarufi,jaziba na majigambo.Hisia hisia na hearsay za kutosha.
Mkuu sasa unakosoa spelling za wenzio at the same time unafanya kosa hilo Hilo “ Sio jaziba ni Jazba”
 
Huko insta wamejaa wanasema mama alikuwa anamfokea mlinzi,
Mlinzi akalipa kisasi akaua familia nzima

Hao watu wana inferior complex sana hivyo kuwafokea ni kuzidi kuwaongea stress na wanaweza wakafanya mambo mabaya sana siku akili zao zikichacha ndio maana inashauriwa hao watu(House girl/boy ,Shamba boy ,Mlinzi etc) kuishi nao kama watoto/ndugu yako!!
 
Halafu wameishi naye miaka 10 [emoji848][emoji848]

Ni hatari kuishi na mtu asiye ndugu kwa muda mrefu.
Haishauriwi kwa anayejielewa hata kama mfanyakazi anafanya kazi Nzuri sana ukipima risks zinazoweza kukutokea sababu yake ni bora kukatisha mkataba naye.

Miaka zaidi ya 3 na kuendelea mfanyakazi anaaanza kukujua ndani na nje na nguvu na udhaifu wako ulipo [emoji108][emoji108]

Ikifika hapo usalama unakuwa mashakani.
 
Back
Top Bottom