Huyo wa kati ndo mama?
Asante Dr MshanaWakuu imetosha naomba mniwie radhi sana, nipeni muda nipate habari yote kwa ukamilifu
My apology again kwa kutokidhi kiu yenu juu ya habari hii.. NAKIRI MAPUNGUFU!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Gone Too Soon,
Nadhani kushuka kwa kodi ya vileo kumechangia hali hii.
Mume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Hii kesi ipo police.Ni homicideStory haijajitosheleza kwa kifupi Haina nyama mtoa habari ulikuwa unakimbilia wapi?!chooni
I?!
Ni tatizo la wanawake Aged kupenda vijana kitu hawaelewi vijana wanatumia makalio kufikiri huyo mrembo angekuwa anatoka na mtu mzima mwenzie mwenye familia yasinge mkutaDah! inasikitisha sana
Unaanzaje kumuua dada/mama mrembo kama huyo
Pole sana mwambaWajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Mume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.
Huu utopolo nao vpi?! Ndio umeandika utumbo gn?Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali