Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Kwa ambao hamjaelewa
Huyo mama mumewe joel ameshafariki, hivyo mama akatafuta kibenten/boyfriend ..kibenten akaingia tamaa baada ya kuona mama anapeleka pesa benki mara nyingi. Hivyo akasuka mchongo na mlinzi wakaleta majambazi

Wakaua watoto wawili kasoro mlinzi..
Mlinzi japokuwa alipoozwa na pesa lakini kafichua siri.. Na hivyo wote wamekamatwa tayari
Hata wewe bado haujaeleweka, hii family inaonekana ni famous kwa baadhi ya watu tu.

Huyo Joe ni nani?
Alikuwa na cheo gani?
Alikuwa anaishi wapi?
Tukio limetokea lini?
 
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Pascally hukutupiapo kaneno kweli?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Swali nje ya mada!flat's hpo unamkumbka mama nafisa

Ova
 
Inasikitisha sana,

FUNZO:
Wanawake wajane jieshimuni, jama unaona bado unaweza olewa, fanya hivyo na sio kutembea na wanaume hovyo hovyo.

Huyu mama amekufa na kusababisha wanae kufa kwa sababu ya uasherati wake. (Kwa lugha isiyoyakisanii)
Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?

Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
 
Inasikitisha sana,

FUNZO:
Wanawake wajane jieshimuni, jama unaona bado unaweza olewa, fanya hivyo na sio kutembea na wanaume hovyo hovyo.

Huyu mama amekufa na kusababisha wanae kufa kwa sababu ya uasherati wake. (Kwa lugha isiyoyakisanii)
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
 
Back
Top Bottom