Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

sasa mtoto mzuri kama huyo, hela zake za nini.. Hapo wewe unatakiwa kula vizuri na mazoezi ili ujitafunie vizuriii na hela zake abaki nazo mwenyewe....Mijitu mingine bwana...

Yaani kama mimi hakimu, namhukumu kifo cha kuchomwa moto akiwa mzima, aveshwe tairi achomwe akiungua vya kutosha...Ndafu yake wapelekewe Papa au Nyani kula virunga DRC..
 
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
Wanamlaumu victim, victim anaweza kuwa yeyote ukiwahiwa akili. Wahusika wakutane na mkono wa sheria.

RIP mama mrembo na watoto.
 
Wanawake unampelekaje boyfriend kwenye nyumba ya marehemu mumeo mpaka ajue ya hela ulizonazo.

Pia mjane tajiri wanaume wahuni vibenten wa nini.. why usitafute mjane mwenzako mwenye mahela. Ama unakuwa hata mchepuko wa mwanaume anaejielewa pia.. hela anazo ila hajui hata value yake..

Wanawake wajanja wana vikazi vya laki sita tu ila mwanaume mjinga mjinga hawakupi chance hata ya kumsalimia..
❤❤❤❤❤❤❤.na hii tabia ya kupokea pokea salamu inawacost sana..bora uonekane una dharau! Kitoto kidgo cha kazi gani? Pyee
 
❤❤❤❤❤❤❤.na hii tabia ya kupokea pokea salamu inawacost sana..bora uonekane una dharau! Kitoto kidgo cha kazi gani? Pyee
Noma sana

Ova

IMG-20210612-WA0012.jpg
 
Wapo wanaume kazi yao kwa wanawake ni umaslahi,wanawake wengine wanawababaikia
Kwa sababu ya umuonekano,usmart maneno mengi hapo wanawamaliza

Ova
Semaga hivi wako wakaka kazi yao kuwa smart na kwa siku anasalimia wamakankaka 10 anakumwagia misifa kama umenit naye sokoni anakuomba akusindikize had kwa gar...ss kama una stress za kwako unahis anajua kucare unajikuta unampa namba..had saa7 usk anakubembeleza tu bas unahis wewe ndo wewe..mxiew
 
Semaga hivi wako wakaka kazi yao kuwa smart na kwa siku anasalimia wamakankaka 10 anakumwagia misifa kama umenit naye sokoni anakuomba akusindikize had kwa gar...ss kama una stress za kwako unahis anajua kucare unajikuta unampa namba..had saa7 usk anakubembeleza tu bas unahis wewe ndo wewe..mxiew
Hahahahah

Alafu vinganganizi

Ova
 
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story!
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa!



View attachment 1816190

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh..what a nice family picture ...so sad...r.i.p
 
Kijana aitwae Shadrak Kapanga (34) anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za Mauaji ya Bosi wake pamoja na wanae wawili kwa madai ya kugombezwa mara kwa mara,
Tukio hilo lilitokea Tarehe 9/6/2021 maeneo ya Masaki Dar es salaam.
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne amethibitisha kutokea kwa tukio hili.
Chanzo:ITV
IMG_20210612_162613.jpeg
 
Back
Top Bottom