Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Wajumbe wamegomea hii habari,wanataka wapewe kuanzia matandu mpaka ukoko.
 
Wanawake unampelekaje boyfriend kwenye nyumba ya marehemu mumeo mpaka ajue ya hela ulizonazo.

Pia mjane tajiri wanaume wahuni vibenten wa nini.. why usitafute mjane mwenzako mwenye mahela. Ama unakuwa hata mchepuko wa mwanaume anaejielewa pia.. hela anazo ila hajui hata value yake..

Wanawake wajanja wana vikazi vya laki sita tu ila mwanaume mjinga mjinga hawakupi chance hata ya kumsalimia..
Mkuu wajane wengi wenye vihela/hela wanatoka na viserengeti boy hadi aibu. Yaan siku hizi ni kama fasheni, wanataka kusuguliwa na vijana, wanadai wazee wenzao hawana nguvu.

Kazi iendelee
 
Natamani kukielewa hiki kisa.
Huyo Joe ni nani? Boyfriend Wa nani amehusika? Mlinzi je?

Anyway, poleni wafiwa.
Mimi bado sijajua marehemu Joe alikuwa PF hapa tz au alikuwa raia tu wa kawaida? Pili mauaji yametokea lini hadi watu wakadhulumiana na mmoja kukisanua
 
Back
Top Bottom