Inauma mno!
Sina hakika kama kilichoelezwa kuwa chanzo cha msaidizi wa ndani kuwaua hawa watu kama ni kweli!!
Kwa wanaoajiri wasaidizi wa ndani nje na kuwafuatilia/kuwajua vyema historia za Maisha yao ni vyema pia TUKAWA TREAT VIZURI, KUNA MALALAMIKO MENGI YA WAFANYAKAZI WA NDANI KUNYANYASWA NA KUONEWA, HUWEZI JUA NINI KILITUKIA. WENGINE WANAAJIRI WATU HOVYO HOVYO BILA KUJUA HISTORY ZAO VIZURI, KUNA RAFIKI YANGU ALIAJIRI MTU KUMBE ALIKUWA NA MATATIZO YA AKILI JUST IMAGINE MTU WA NAMNA HII UNAFIKIRI HAWEZI KUFANYA VITENDO KAMA HIVI.?
Pole Sana kwa wanafamilia na watu wa karibu, sijajua baba and familia alikuwepo au vipi maana taarifa zake na hazijawekwa sawa.
May their souls rest in eternal life!!