Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mh, mtu mzima akitaka kutukana, basi huzungushiaaa!Aliye HACK akaunti ya Mshana jr ya JF akamatwe , maana Mshana hawezi kuandika stori KIBOYA hivi
Yaan unayetukanwa hata kama umekaa naye hapo hapo, hauwezi ambulia kitu, utabakia tu kukenua meno kwa furaha ukidhani anayenangwa si wewe kumbe kisu kishachinja!
Wakubwa ana akili,wee acha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app