Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Kwa lugha rahisi isiyo ya kisanaa...tabia zake ni sawa na zako au ndugu yako umpendaye.Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?
Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
Una nafasi ya kubadilika