Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

muda gani mumewe kafariki?inawezekana labda kiben ten alikuwepo kabla jamaa hajafa.then kwa nini kuna mikanganyiko mara houseboy mara kibenten
Wote houseboy ambaye pia alikuwa kama mlinzi wa muda na huyo jamaa wapo lupango as per police report.

Mengine tutajua huko mbeleni maana yawezekana ni conspiracy to commit offense ilifanyika kati ya hao wawili.

Statement ya mlinzi haijitoshelezi eti aliboreka na the way huyo mama amekuwa akimtreat kama trash. At the same time akaua Hadi watoto sasa wanahusika nini? Na wanasema ni kijana wao wa siku nyingi.

On the other hand jamaa inasemekana alijua bibie alikuwa na pesa nyingi either kuna transaction or what, nadhani polisi ndio wanatafuta muunganiko hapo.

Haiingii akilini mama anauawa, alikuwa na transaction kubwa na boyfriend haji home kumtafuta like siku tatu maana wanasema walikuta miili imeanza kuharibika
 
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
labda bibie alikuwa na kimdomo.then inasemekana ni houseboy sio boy friend
 
Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?

Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
alikua ana miaka mingapi marehemu?
 
Mkuu wajane wengi wenye vihela/hela wanatoka na viserengeti boy hadi aibu. Yaan siku hizi ni kama fasheni, wanataka kusuguliwa na vijana, wanadai wazee wenzao hawana nguvu.

Kazi iendelee
wanaleta kashfa chafu kwa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
mumewe kafariki lini?
 
vipi ulikuwa unawapata?
 
alikua mtungi nini?
 
Dunia ya leo mambo yalivyo unatakiwa uwe makini na kuto amini Binaadamu yoyote yule, Na ni muhimu sn kujiwekea HIDDEN CAMERA ndani kwako au hata CCTV CAMERA ndani kwako kwani husaidia kujua mambo mengi sn katika nyakati tofauti.
hidden camera zipoje hizo?
 
ngoja tutajua connection kati ya houseboy na huyo mlinzi
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…