OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hivi kwa nini binadamu huwa hajiulizi. Kuna mtu alishawahi kuua akabaki salama?lazima utadakwa tu. Sasa yote ya nini hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote houseboy ambaye pia alikuwa kama mlinzi wa muda na huyo jamaa wapo lupango as per police report.muda gani mumewe kafariki?inawezekana labda kiben ten alikuwepo kabla jamaa hajafa.then kwa nini kuna mikanganyiko mara houseboy mara kibenten
labda bibie alikuwa na kimdomo.then inasemekana ni houseboy sio boy friendInasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
alikua ana miaka mingapi marehemu?Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?
Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
nadhani wanapenda kupendwa zaidi kuliko sex ngoja tuwasubiri wajeWanawake ukiwapelekea moto tu vzuri hawanaga shida.
inasemekana jamaa alikuwa houseboyMimi hata salamu zao sipokei..hata bar naendaga alone enjoy alone sepa..hawakawii kukulengesha wakupige ..dah..Mungu awarehemu huko walipo
wanaleta kashfa chafu kwa wazee[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wajane wengi wenye vihela/hela wanatoka na viserengeti boy hadi aibu. Yaan siku hizi ni kama fasheni, wanataka kusuguliwa na vijana, wanadai wazee wenzao hawana nguvu.
Kazi iendelee
mumewe kafariki lini?Wanawake bhana!! Mume kafariki juzi tu keshapata HAWARA hadi anajua nyumbani kwake na hela zilipo!!!! Huyo hawara anayepajua home mume kafa juzi tu lazima alikuwepo kabla. Mjane anaishi mwenyeweee na wanawe tu very selfish utakuta hapo wakwe, mawifi na mashemeji aliwakatia laini wasiguse urithi alioachiwa akaamini mlinzi na kibenten.. Matokeo yake watoto malaika wanauwawa very sad!!!
huyo mama naye alikuwa mjane?Vijana wengi wanapenda kitonga kuna kisa kama hiki kilitokea mbezi beach miaka 5 iliyopita mama mrembo aliuliwa na boy friend
vipi ulikuwa unawapata?Hahahaaa kudanga huko nikajikuta nakutana na mama watoto, miaka 15+ iliyopita.nikikimbuka huwa nacheka sana mambo ya ujana.unajiweka smart halafu unawinda wanawake wenye pesa.ila saivi usmart umekwisha,majukumu yamekuwa mengi muda wa kujitizama kwenye kioo haupo.
alikua mtungi nini?Dahh...RIP. Mumewe Anicetius Joseph Mutaboyerwa alifariki mwaka 2018 huko SA. Alikutwa amedondoka kwenye washroom ya night club. Ufukwe wa nyumba yake Mbezi Beach aliwapa vijana bure wafanye biashara. Nakumbuka alitaka hata kuwapa pesa waboreshe biashara zao. RIP!
hidden camera zipoje hizo?Dunia ya leo mambo yalivyo unatakiwa uwe makini na kuto amini Binaadamu yoyote yule, Na ni muhimu sn kujiwekea HIDDEN CAMERA ndani kwako au hata CCTV CAMERA ndani kwako kwani husaidia kujua mambo mengi sn katika nyakati tofauti.
Sana tu, na wife nikampata hukohuko[emoji38]vipi ulikuwa unawapata?
haaaahaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wazee wa kucheza na akili za wanawake.wife inaonekana ana mkwanja hahaaa
Yaaah! Mwendo wa ganda la ndizi tuu[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119]haaaahaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wazee wa kucheza na akili za wanawake.wife inaonekana ana mkwanja hahaaa
Hidden Cam ni zile zilizo jificha huwezi kujua unaweza jua ni Saa ya UKUTANI LKN pia ina camera au BULB inategemea na mtumiajihidden camera zipoje hizo?
ngoja nifuatilie zaidi ntaziweka nyumbani kwanguHidden Cam ni zile zilizo jificha huwezi kujua unaweza jua ni Saa ya UKUTANI LKN pia ina camera au BULB inategemea na mtumiaji
Mfano=
View attachment 1835283
ngoja tutajua connection kati ya houseboy na huyo mlinziWote houseboy ambaye pia alikuwa kama mlinzi wa muda na huyo jamaa wapo lupango as per police report.
Mengine tutajua huko mbeleni maana yawezekana ni conspiracy to commit offense ilifanyika kati ya hao wawili.
Statement ya mlinzi haijitoshelezi eti aliboreka na the way huyo mama amekuwa akimtreat kama trash. At the same time akaua Hadi watoto sasa wanahusika nini? Na wanasema ni kijana wao wa siku nyingi.
On the other hand jamaa inasemekana alijua bibie alikuwa na pesa nyingi either kuna transaction or what, nadhani polisi ndio wanatafuta muunganiko hapo.
Haiingii akilini mama anauawa, alikuwa na transaction kubwa na boyfriend haji home kumtafuta like siku tatu maana wanasema walikuta miili imeanza kuharibika
NaamFamilia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa
Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.
Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.
“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.
“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.
Soma pia
1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili
View attachment 1816190