Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....
Screenshot_20180508-134734.png

Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...
 
Wasanii wa Bongo wanamsanii msanii mwenzao aliyemaliza usanii.

Hizi dhambi zitawatafuna sana waliohusika na utapeli huu....ikiwezekana kujulikana ni kina nani na nani watajwe hadharani tu.

Imeshakuwa too much sasa kila msanii mkubwa anapodondoka kunakuwa na vikamati uchwara vinavyojikisanyia pesa haramu kwa kisingizio 'tumeteuliwa kukusanya rambirambi'.

Wajue tu kuwa kesho ni zamu yao.

This must stop kwa kuwataja hadharani na sio kumezea kama ilivyo kawaida yao tangu kifo cha Steven Kanumba (RIP)
 
Busara ni kusikiliza upande wa pili kabla ya kuwahukumu, kutuhumiwa anaweza kutuhumiwa yyte na kwa chochote ila inauma kuhümiwa bila ya kosa.
 
Busara ni kusikiliza upande wa pili kabla ya kuwahukumu, kutuhumiwa anaweza kutuhumiwa yyte na kwa chochote ila inauma kuhüku
miwa bila ya kosa.
 
Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....View attachment 770073
Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...
Cc steve Nyerere unabidi ubadilike auche ujanja ujanja sasa hii imekuwa rambi rambi ya tano unaitafuna hivi hivi ....Ulikula ya kanumba ,Sharo millionea , Sajuki , Masogange .....ujue unatia aibu ...alafu nyie wanakamati inakuaje mnakaaminigi aka kamjamaa kanaitwa steve Nyerere
 
Nimefurahi Kukuona Arushamoko,njoo Ule Pilau hapa mwambao
Wasanii wa Bongo wanamsanii msanii mwenzao aliyemaliza usanii.

Hizi dhambi zitawatafuna sana waliohusika na utapeli huu....ikiwezekana kujulikana ni kina nani na nani watajwe hadharani tu.

Imeshakuwa too much sasa kila msanii mkubwa anapodondoka kunakuwa na vikamati uchwara vinavyojikisanyia pesa haramu kwa kisingizio 'tumeteuliwa kukusanya rambirambi'.

Wajue tu kuwa kesho ni zamu yao.

This must stop kwa kuwajata hadharani na sio kumezea kama ilivyo kawaida yao tangu kifo cha Steven Kanumba (RIP)
 
Back
Top Bottom