mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
Steve Nyerere utapata laana ya kula rambi rambi...umefanya hivyo kwa kanumba now kwa masogange,laana lazima ikuandame.Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....View attachment 770073
Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...