Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Familia ya Masogange yalalamika kutapeliwa pesa za rambirambi kutoka kwa Wasanii

Zile hela zilichangwa kwa Ajili ya Msibaa... Nadhani kulikuwa na ishu ya Kuaga mwili pale leaders..mapambo..jeneza na usafirishaji watu kwenda mbeya pia watu walikulaa..!! Hivi Vyote HELA zipi zilifanya vikakamikika!??? Je hizo hela zilizochangwa ni sh ngapi!??? Tusiwe wepesi wa kumhukumu steve Nyerere ukutee hela zilizochangwa hazikutosha kufanya yotr hayo akaingia na mfukoni kwake Vilee vyuma vimekazaaa..... Pole sana kwa wafiwa lakini wasiwe wepesi wa kutoa lawamaa..
 
Mambo ya pesa siku zote huambatana na lawama.

Hata mtu asiyeona akikuomba umsindikize kwenye ATM kutoa elfu kumi, alafu akasikia ile mashine inavyochakata as if inahesabu laki....mnaweza kuanza kuzozana.
 
Tena hao mabwana walijificha chini ya rangi ya chama kile, dhuu wazoefuu haoo
 
Marehemu alikuwa anaonyesha dola za kimarekani Instagram, inakuwaje walilie michango ya msiba? Watafute Bureau de Change tu sasa, au hawajui zilipo?
 
Steve Nyerere nilimuona akiwa busy na mzee Majuto hospitali. Usikute maombi na sala zake kwa mzee wetu ni tofauti kabisaa na sisi tunavyoomba na kusali.
 
Hili suala la kutumia Nickname ya watu maarufu na wenye sifa zilizotukuka lingewekewa utaratibu maalum, vinginevyo inakuwa ni kumdhalilisha mhusika.
 
Back
Top Bottom