Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kajamaa kapo sharp balaa.Huyo Stive Nyerere ni joka lenye njaa kali sana,kameshapiga tena
Cc steve Nyerere unabidi ubadilike auche ujanja ujanja sasa hii imekuwa rambi rambi ya tano unaitafuna hivi hivi ....Ulikula ya kanumba ,Sharo millionea , Sajuki , Masogange .....ujue unatia aibu ...alafu nyie wanakamati inakuaje mnakaaminigi aka kamjamaa kanaitwa steve NyerereNdugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....View attachment 770073
Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...
Wasanii wa Bongo wanamsanii msanii mwenzao aliyemaliza usanii.
Hizi dhambi zitawatafuna sana waliohusika na utapeli huu....ikiwezekana kujulikana ni kina nani na nani watajwe hadharani tu.
Imeshakuwa too much sasa kila msanii mkubwa anapodondoka kunakuwa na vikamati uchwara vinavyojikisanyia pesa haramu kwa kisingizio 'tumeteuliwa kukusanya rambirambi'.
Wajue tu kuwa kesho ni zamu yao.
This must stop kwa kuwajata hadharani na sio kumezea kama ilivyo kawaida yao tangu kifo cha Steven Kanumba (RIP)