Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Kwakweli kama ni mamluki achukuliwe hatua Kali. Hawa watu wanaotumika kupoza mambo ni wa kupiga mawe hadi wafe kwa kupotosha ukweli ili jamii isahau na isione umuhimu wa kuwataka wahusika kuchukuliwa hatua. Hata yule Binti wa dodoma anayedaiwa kufa kwenye ajali ya kiongozi mpaka Leo kimyaFamilia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Hapo wamepata majibu sahihi ya kifo cha baba yao, wamepanda hasira kwanini alisema uongo inaonekana na yeye alikuwa miongoni.Familia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.
Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.
Mh makubwa sanaHapo wamepata majibu sahihi ya kifo cha baba yao, wamepanda hasira kwanini alisema uongo inaonekana nayeye alikua miongoni.
Kwa niniNilijuwa Wamwela hawatapoa!
Uliwahi kuona wapi taarifa ya Kifo inatolewa na Madaktari wawiliKwa nini
Gademiti, Boma yeyeye boma liwanzaAcha CCM wafe ili tupate katiba mpya, wametuchelewesha sana kuipata