The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kinembe unaleta masihala hadi kwenye Vifo?Huyo sio jamaa yake na Lemma kaigiza sauti?
Huyo dawa yake asomewe tu ile ya Mzee wa Yanga.Mtoto wa marehemu Kibao wala usijali, huyu ambaye alisema kuwa kifo cha mzee Kibao ni kama vifo vingine naye atakufa.
"Tuzoee kifo"! Hilo ndilo hitimisho.Tazama na usikilize
Una usengerema mwingi sana.Huyo sio jamaa yake na Lemma kaigiza sauti?
Ila nimeona mdomo ulivyo mkubwa, kama wanafananaUna usengerema mwingi sana.
Anaonekana analipeleka kisiasa, sasa na yeye atajibiwa kisiasa, anaonekana ni wa chama cha maandamano, aje polepoleWao watafute njia zingine za kufatilia waachane na wanasiasa na siasa
Kama wanaamini Mungu atawalipia, wasubiri, au watumie njia zao.