Inasikitisha sana . Ila malipo ni hapa hapa, hata dhalim naye alikuwa fedhuli hivi hivi...siku ili Mama alisimama upande wa watekaji, na wauwaji.
Kwenda zako huko. Huu ujumbe ni wa Mwabukusi?Naona hapa analaumiwa Mwambulukusi wa TLS.
A bold message. ....mtoto wa Nyoka ni Nyoka.
Mungu wa Israeli kama kweli Yupo Matukio kama la Ali Kibao na wengi kutekwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Yakobo na ibrahim atatulipia tuBwana Mohamed Ali mohamed Kibao.
1) Inaonesha mlikuwa hamjuwi kazi zote za mzeew wenu, aliwaficha mengi.
2) Mbona tuliona mazikoni mpaka waziri kahudhuria, wakuu wa vyama vya siasa wamehudhuria. Wote jao wameshoimdwa kuwa mwanashewria?
3) Kuhusu "kifo ni kifo" hiyo ni nadharia ya Kiislam, nakushamngaa sana kama hulielewi hilo.
4) Yote manne uliyoyasema ni kujenhga hoja tu/ Cha msingi, kifo kimeytokea katika hali isiyo ya kawaida. Uchunguzi ufanyike na ijulikane nini ki;lichotokea.
Je, serikali ilikwambia kuwa jalada limefungwa na hakuna uchunguzi unaoendelea, au unaona suala linachukuwa muda mrefu?
Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.
Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.
Hivi ulikuwa hujuwi kuwa baba'ko ni mtu wa serfikali? Au hata hilo aliwaficha? Huko serikalini unafahamu alikuwa kitengo kipi?
Pengine kufichwa kwa uchunguzi wake ni faida kwenu kama familia, mkiyajuwa yote mnaweza kumkana baba yenu.
Wewe tulishakujua hata ulivyokuwa unamchukia Magufuli ilikuwa kwa sababu ya chuki tu na sio kwamba unapenda haki na amani.Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.
Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.
Walioshiba pesa za kijani mnaongea tu mnachojisikia.Anaonekana analipeleka kisiasa, sasa na yeye atajibiwa kisiasa, anaonekana ni wa chama cha maandamano, aje polepole
Ametoa hisia zake. Ana haki hiyo.Wao watafute njia zingine za kufatilia waachane na wanasiasa na siasa
Kama wanaamini Mungu atawalipia, wasubiri, au watumie njia zao.
Hata bila kuongea hilo neno, mwenendo wa matukio na namna yanavyoachwa yaendelee moja kwa moja inaonekana Wenye mamlaka wanaona hivyo Kifo ki kifo tu.Hata bila kutamka.Ukivaa viatu vya familia ndipo utajua Maumivu yanafananaje.
Perhaps mama Samia kusema kifo ni kifo inawezekana haikua na Nia mbaya Ila ikatafsiliwa / nukuliwa vibaya
Serikali Ina mkono mpana Sanaa ikitaka kujua ukweli utajulikana TU
Pole zangu za dhati kwa watoto,familia , ndugu jamaa na marafiki walio guswa na huu msiba wa mzee WETU kibao
Hii ndiyo unaiita chuki eeh?:Wewe tulishakujua hata ulivyokuwa unamchukia Magufuli ilikuwa kwa sababu ya chuki tu na sio kwamba unapenda haki na amani.
Huyu Kijana anafaa kuwa Mtangazaji katika TV kama BBC sijasema TBC
Naona hapa analaumiwa Mwambulukusi wa TLS.
Usihamishe mjadala yule baba aliuliwa kikatili sana alitekwa mahali pa wazi kabisa na rais kasema kifo kile ni kawaida tu haya endelea....Naona hapa analaumiwa Mwambulukusi wa TLS.
Mwenyezi Mungu ni mmpja tu, hakuna tofati wa wa waisraili na wamatumbi. Pata faida:Mungu wa Israeli kama kweli Yupo Matukio kama la Ali Kibao na wengi kutekwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa Yakobo na ibrahim atatulipia tu