Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji



Yaani inawezskana kabisa uchawa wa Polisi na usalama ndiyo umetufikisha hapa
 
Wewe unaeleweka unamkingia kifua mvaa ushungi mwenzako angekuwa ni Mkristo ungekuwa na msimamo tofauti.
Mimi ni Muislam na ninayasema na kuyaandika yaliyopo, siwezi kuwa kondoo nikaanza kuzusha yasiyokuwepo.

Kumbuka hilo.

Wewe kama unakijuwa kifo cha Ally Mohamed Kibao kwanini hawasaidii kwa kuwajulisha wanawe?
 
Kwa andiko lako hili linatosha kusema wahusika wote kwenye mauaji yale unawafahamu vema. Ambao ni Serikali ya Bi Chura Kiziwi.
Kwa andiko langu hilo naamini wapo wanaoujuwa ukweli, pengine wapo humo humo kwenye familia wanaoujuwa ukweli. Si kila mtu kwenye familia huambiwa ukweli wa kifo.

Tanzania hii, navijuwa vifo vingi ambavyo havisemwi ukweli. labda uy mtoto sana au kondoo sana kwa kutokulielewa hilo.
 
Mimi ni Muislam na ninayasema na kuyaandika yaliyopo, siwezi kuwa kondoo nikaanza kuzusha yasiyokuwepo.

Kumbuka hilo.

Wewe kama unakijuwa kifo cha Ally Mohamed Kibao kwanini hawasaidii kwa kuwajulisha wanawe?
Wewe ni Bakwata πŸ˜€
 
kama nimekuelewa hivi ila walimuua kinyama sana haibadilishi uhalisia hata huyo mumeo mzee Guzo wakimfanyia hivyo utakubali wewe?
 
Wewe shambulia hoja zangu, naona zimekuingia mpaka huna majibu, sasa unaanza kunishambulia mimi binafsi.

Akili za kikondoo zinajulikana. Sikushangai.
Huna hoja bali una mahaba tu. Na sijakushambulia bali nimeeleza wasifu wako wewe ni mnafiq.
 
Poleni sana familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…