Mkuu umesoma hadi darasa la ngapi!? Kile kipengele cha ufaham swali la kwanza kwenye mitihani kuanzia darasa la 5 unalifaham!? Form one ukifika wanaita comprehension. Hua swali la kwanza la mtihani wa kiingereza.
Hii ya Wasauzi ilikuwa ni kummis Mandela ambaye alikuwa Gerezani kwa 27yrs ndio wakaimba "We miss you Mandela where are you?"Nzela wameiga nyimbo ya Wasauzi inaitwa" We miss you manelo".
Mkuu,huoni kama Nzela alikua anatahadharishwa kua ajue duniani kuna magonjwa?Elewa wimbo mkuu.So ndo alimpa Gonjwa zito la ukimwi ? Km nyimbo inavyosema
"Dunia ni tambala lililotoboka kumbuka Kuna Gonjwa zito la ukimwi"
Huo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.Nitamani atokee mtu atupe story nzima ya Rita aliyeimbwa na Marlaw bila kutafuna tafuna habari yenyewe. Marlaw aliwahi kuhojiwa zaidi kuhusu muhusika lakini ni kama hakutaka kuongelea sana issue yenyewe.
Marehemu hasemwi...ila ngoja niwasahihishe.
Nzela walimuimba maunda baadae ya kuamua kuwa mcharuko.binti sababu ya uzuri anarukaruka na wanaume hovyo,anawachanganya,kutwa anashinda klabu,marableo na tajiri wa kihindi,kesho na mfanyabiashara Fulani.
So baba na kaka wakajua kabisa mwenzetu tunampoteza.halafu wala haku mdogo sana kama miaka 25-26 hivi.
UKWELI:Alipata mimba,na sababu alikua anachanganya wanaume na wao wanajua kila mmoja akaikana mimba sio take,anamtupia zigo mwingine.na hata maunda mwenyewe hakujua no ya nani kati yao.akabaki na kuamua kulea mwenyewe.ndo mtoto wake wa kwanzaalikua mcharuko kwelikweli,alipojifungua tu hajamaliza hata miezi miwili tayari ananaswa ukumbini anafatiilia tuzo za k'manjaro nyonyo zimejaa dah!
Habari zimetapakaaa mujiiiiiiiiiiini,Aliyeimba hivyo sio mzee Zorro ni Banana. Na alisema ni habari za mujini.
Je, na Mzee wa kafia gheto Husein Machozi, hii vp nayo niyakweli au ni ubunifu au Lissa yakwake RapchaHuo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.
Hata mie nataka kumjua haswaaa.Nitamani atokee mtu atupe story nzima ya Rita aliyeimbwa na Marlaw bila kutafuna tafuna habari yenyewe. Marlaw aliwahi kuhojiwa zaidi kuhusu muhusika lakini ni kama hakutaka kuongelea sana issue yenyewe.
Huo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.
Mkuu,kwanini wewe huwa unakubali Kila kitu ?Sawa sawa
Mkuu,kwanini wewe huwa unakubali Kila kitu ?
"we miss you MANELO where are you"Hii ya Wasauzi ilikuwa ni kummis Mandela ambaye alikuwa Gerezani kwa 27yrs ndio wakaimba "We miss you Mandela where are you?"
[emoji28][emoji28][emoji28]Baada ya kutoka kwa wimbo huo wa Nzela,Maunda nae alitoa wimbo kuwajibu ulioitwa "MAPENZI YA WAWILI"View attachment 2221487