Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

"we miss you MANELO where are you"

Sio MANDELA japo wengi waga wanahisi ni mandela, sikiliza vuzuri mashairi yake na angalia video yake utaelewa.

Wimbo wameunyima mashairi kabisa huu. Ni kama ulitengenezwa kwa ajili vibe tu
 
Sema kuna Familia zina ushirikiano kweli very caring to each other bila ya kujali kipato ila kuna hizo family role yao kubwa ni kukuleta duniani kinachobaki ni wewe kupambana na hali yako iwe unaharibikiwa au unafanikiwa ni juu yako.

Hongereni familia zote zenye ushirikiano.
 
maunda alisha wahi kukataa kuwa nyimbo hiyo kipindi inaimwa yeye alikuwa bado binti...mdogo sana
 
Habari zimetapakaaa mujiiiiiiiiiiini,
Unaujauzito, ulopewa na mpiga debe ,eeeeeeee nampiga debe.

Nzela Mimi jilani yako nzela
Nimesoma na kaka yako nzeeela
Naumia na tabia uliyonayoooooo
Kumbuka umeacha shule nzelaaaaa
Duniaaaaa nitambala lililotobokaaaa
Kumbuka Kuna gonjwa zito nzela

Nzela Dada Rudi Nyumbani sis tunakukumbuka
Niko hapa namjomba yetu nzela
Jua mama unampa tabu nzela
We miss u Nzela wela yooo mama x2
Ukiimba nyimbo zenye zenye uhalisia hudumu sikuzote
 
So ndo alimpa Gonjwa zito la ukimwi ? Km nyimbo inavyosema

"Dunia ni tambala lililotoboka kumbuka Kuna Gonjwa zito la ukimwi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa umetuingiza chaka mkuu. Walikuwa wakimuasa kwamba dunia ni tambala lililotoboka, na wakamkumbusha kuna gonjwa zito. Hilo gonjwa halikutajwa kwa kusadifu kwamba tayari amepewa, bali kumuasa ajiepushe na fedheha kwani anaweza kulikwaa gonjwa husika.
 
maunda alisha wahi kukataa kuwa nyimbo hiyo kipindi inaimwa yeye alikuwa bado binti...mdogo sana
Kuna kipindi kama sikosei cha Mkasi miaka ya nyuma sana.
Bana Zoro alikuwa akiongelea baadhi ya nyimbo ambazo zilibeba story za kweli ama baadaye ilitokea kama ilivyo story ya wimbo.
Kati ya nyimbo hizo ni
MAMA YANGU.
NZELA na
NIKO RADHI.

Hii maana yake ni story ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ndo alimpa Gonjwa zito la ukimwi ? Km nyimbo inavyosema

"Dunia ni tambala lililotoboka kumbuka Kuna Gonjwa zito la ukimwi"
We muhaya ndio mana jiwe alisema mpo Bampa to Bampa na ukimwi😂 Akili imewaza ukimwi tu
(Utani)
So ndo alimpa Gonjwa zito la ukimwi ? Km nyimbo inavyosema

"Dunia ni tambala lililotoboka kumbuka Kuna Gonjwa zito la ukimwi
 
Mimi naukumbuka Tamaa Mbaya wa 20% nadhani kama sijakosea jina la wimbo.
Huu wimbo ulinifanya nikaogopa kujiingiza katika mahusiano kipindi nasoma.
 
Mimi naukumbuka Tamaa Mbaya wa 20% nadhani kama sijakosea jina la wimbo.
Huu wimbo ulinifanya nikaogopa kujiingiza katika mahusiano kipindi nasoma.
Basi feityy wewe ni kabinti kadogo Sana,wakati wimbo huo unatoka ni Mwaka 2011,
 
Hii ya Wasauzi ilikuwa ni kummis Mandela ambaye alikuwa Gerezani kwa 27yrs ndio wakaimba "We miss you Mandela where are you?"
Wanatamka "Manelo" kwani kwa nyakati zile hawakuweza kumtaja Mandela moja kwa moja, Wazungu bado walikuwa wameshika hatamu.

Ila walilenga Mandela kupiga chenga ingawa ilikuwa rahisi sana kuunganusha dots.
 
Bado hili ni suala la mdahalo. Hakuna ithibati kuwa Manelo ni Mandela hata ukipitia lyrics za huu wimbo havihusiani.
 
Hii ya Wasauzi ilikuwa ni kummis Mandela ambaye alikuwa Gerezani kwa 27yrs ndio wakaimba "We miss you Mandela where are you?"
We mbona libishi! Ile nyimbo ilitumika tafsda ya binti aliyetajwa kama Manelo, ila mlengwa haswa alikua Mandela.....Mzee Chiko Chikaya aliogopa ngoma ingefungiwa maana makaburu walikua wameshika hatamu wakati huo vitabu sijui mabandiko na nyimbo zenye mlengo wa kiharakat zilikua zinafungwa...Kuhusu Nzela yes idea waliiiga kwa Twala kwa ujumbe wa wazi (sio ujumbe uliofichwa).....kwenye ngoma ya Manelo Wazazi wanamtimua binti afu baadae wanajitakari wanamtafuta NZELA-MANELO idea.
 
Back
Top Bottom