Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

wakuu naskia lile goma la ZALI LA MENTALI ni true story
 
Wimbo wameunyima mashairi kabisa huu. Ni kama ulitengenezwa kwa ajili vibe tu
Binafsi naona mashairi yanajitosheleza kabisa. Ni kama ule mwingine pia wa "i need some money".
 

Tumezaliwa Wawiliiiiii Nzeeeeelah nzela
Jua mama unampa tabu nzelaah nzelaah..
leo ndo nimeelewa aisee
 
Kiukweli Maunda (Nzela) ni moja ya wasanii Tz walokua na sauti tamu. Huyo mpiga debe alipata utamu aseee
 
Wanaangalia pesa sio ujumbe.Na wanapiga sana pesa
 
Bia tam........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…