DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

ahsante Mkuu Pasco. Nina hakika Yeriko hataingia tena kwenye uzi huu japo anachungulia kwa mbali kusoma comments za watu. Nipo naye karibu na namuona anavyohangaika
 
Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.


Tujiulize,

Simba Trust inayomiliki 50% ya IPTL/ PAP ya nani?


Hapa naona,unacheza reggae tu.

Sasa tujiulize nini tena wakati majina umeshayataja?
 

duh! Naona umeamua kutoa matapishi yako humu baada kuvimbiwa. Katiba mpya na escrow wapi na wapi?
 
Wakuu,

Kuna mambo mengi yanayosababisha akili yangu kushindwa kuchanganua zaidi kuhusu suala hili ambalo kwa hakika limekuwa mwiba katika maisha ya watanzania.

lakini Jambo moja ni dhahiri. PAP kuendelea kulipwa Tsh Mil 400 kwa mwezi hadi mwaka 2033, halafu watu humu ndani badala ya kuliangalia hioli kwa zito unaostahili naona kama wanabeza kitu ambacho ni hatar kwa mustakabali wao na taifa kwa jumla.

Hii maana yake ni kwa watanzania na hasa watumiaji wa umeme watalazimika kukamuliwa zaidi ikiwezekana kuongezeka kwa gharama za matumizi ya umeme hivyo kuathiri masha yao wakati wenzetu kenya mwize uliopita walipunguza gharama za matmizi ya umeme!

Ukiacha hilo la kampuni ya Simba trust kumilikiwa na hao wanaotajwa, sishangai sana kwa taifa lililokosa maadili kwani sio jambo la kwanza hata mtangulizi wake aye alifanya hivyo hivyo na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa huku baadhi yetu tukiendfelea kuimba mapambio ya kuwasifu watawala.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Mkuu Hexa, kwani wewe una uwezo wa kuchagua uzaliwe familia gani, au unajikuta tuu umezaliwa familia hiyo uliozaliwa?!, ikitokea na mtu mmoja wa familia yako akawa mwizi, vipi utahama familia?!.

Pasco
 

mkuu, uwe unashirikisha vizuri ubongo wako japo kwa kiasi kidogo. Si kuendekeza ushabiki kwa Yeriko. Yeriko ni muongo na mzandiki
 
Yeye ni verified user, kwa nini msimchukulie hatua kwa uzushi? Mmekamatwa pabaya!

tunaendelea kufuatilia mjadala. Soon Yeriko atawajibika kwa uongo huu
 
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya

huu utumwa mnajikuta hadi mnatetea upuuzi unaoathiri hata ndugu zenu ni ubinafsi na unafiki wa hali ya juu uliowajaa watanzania wa sampuli yako.
 

we unajua hata unachozungumzia?? this contradiction proves that "its a made up story"

Kwa nini unauliza swali ambalo ndo msingi wa thread yako?? Sipendi uongozi wa JK, lakini sipendi zaidi wazushi kama wewe sababu mnatumika ku divert attention ya watu kutoka katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo kwa kutaka kuwaaminisha majibu yasiyo na msingi.

Ungetusaidia zaidi kama ungeweka walau nyaraka yeyote katika hili, lakini kwa porojo hii unayotumia inaonyesha hujui kitu na umeweka bandiko hili kutumia hayo majina ili wanaojua waje wakupe taarifa ya nani muhusika wa hizo 50%.

Ungeweza tu kuuliza moja kwa moja na ungepata majibu, kuliko kuja na majina alafu baadaye unasahau kuwa ushaweka majina na unauliza tena eti majina ya wamiliki ni kina nani?? Ridiculous , poor Yericko Nyerere
 
2015 watakuwa na mengi ya kujibu.

Watanzania wa leo siyo wale wa 47.
 
Stupidity is a profession. Ni upumbavu wa hali ya juu, watu wanaongelea mambo ya maana wewe wakati wote mawazo yako yapo kwenye kuoa na kuolewa. Kuoa au kuolewa inakusaidia nini wewe au Taifa? Tumia akili na jaribu kuchangia kitu cha maana katika mijadala ya kitaifa. Tukiendekeza michango ya kipumbavu na kijinga tutaendelea kuwa Taifa la wapumbavu na wajinga. Jenga hoja, kwa kufanya hivyo unasaidia vizazi vya sasa na baadaye, Taifa la leo na la kesho.

mkuu, hawa jamaa wanajifariji sana. Mtu anashindwa hata kuoa ataweza kushinda urais? Aoe kwanza ndipo afikirie kugombea urais
 
It doesn't matter awe nani au nani twataka pesa zetu na kuwajibishwa mtu.
 
We m.p. ambavu. msh.e.n.zi wa haja. unaweza kumfananisha na huyo jamaa yenu ambaye hajulkan ana wake wangapi na kesha u.ngua tayari.

hahahahahahahaaaaaa! Mwambie Dr Slaa aache uzinifu na badala yake aoe ili aishi maisha ya Ndoa. Kama dini ni kikwazo, anaweza kubadili ili apate haki yake ya kuishi maisha halali ya ndoa. Ndoa tamu jamani.

Uzinifu haufai. Ni laana kwa Mungu na huondoa baraka ya maisha. Mambo mengine Dr Slaa anajitakia mwenyewe, pengine angeoa mpaka sasa angekuwa Presidaa wetu
 
umeandika kwa staha sana. Ningekuwa mimi ningemwambia Yeriko alete ushahidi la si vyo nitamchukulia hatua kwa kujaribu kuihusisha familia ya Rais na maovu

Hivi ww mama usawa huu niwakutishana.Watu tunaha.si.ra na nyinyi.Soon utajua tuloweka mioyon mwetu.
 

1. Sio sawa Pasco uandishi haumaanishi lololte linapokuja suala la kuhoji " degree of truth and validity" sababu uandishi ni fani na kipaji kama mtu hana fani wala kipaji hii haimaanishi ina compromise "degree of truth and validity" ya anachokisema ndio maana polisi unahojiwa ila anaandika anayejua kuandika unachokisema. Mathalani nyi mnaoitwa waandishi wengi wabovu saaanaaaa kuanzia composition mpaka eloquence!! Kama ni hoja basi tuhoji ukweli wa habari husika!

2. Kuhusu umri sawa kisheria ulivyosema lakini kama habari hiyo ni kweli kwa kiasi chochote kile haiwezi kumuacha huru kama unavyo wish mtajwa mkuu hata kama jina na umri wa wahusika viko wazi "socio-cultural-political-human" domains haziwezi kuachia moral and humane consciousness huru tu kwa hoja zako!!

Issue hapo ni kiasi gani habari hii ina ukweli????!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…