DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
hoja ilikuwa mahsusi kwa Yeriko, wewe kiherehere cha nini?

Hata mimba aliyobeba mamako mzazi ukazaliwa wewe walishirikiana na unayemuita babako!!! Unaloita Bunge lipo sababu ya washiriki!!!
Unayoiita JamiiForum ipo sababu yetu!!!

Inayoitwa Tanzania ipo sababu yetu Watanzania na wasio raia!!!

Itakuwa hoja kama hii inayohitaji kujua nini ni nini???!!!
 
weka ushahidi wa upuuzi uliouandika. Umbea tu mwisho utavalishwa kanga

Ushahidi ameshadadavua hadi jinsi mgao ulivyo, watuhumiwa ndo wanatakiwa wakanushe wao wenyewe au kupitia kijiwe chao ambacho zamani ilikuwa ikiitwa ikulu takatifu.
 
hoja yako hapa iko wapi? Au ndo kujipendekeza?

Kwani tangu umejiunga JF umeshawahi kuandika hata kitu kimoja tu cha maana? jaribu kusoma mambo unayoandika, hautaacha kukubaliana na mimi kwa hilo nililosema kuhusu wewe na wenzako.
 
Duh, Halafu tunadanganywa eti IPTL itashusha gharama ya umeme toka 400 mpaka sh. 80 kwa Unit....!!! kumbe tayari wanajipatia tsh Ml 400 kwasiku Wazalishe wasizalishe...!!!!.. Poor Tanzania

BACK TANGANYIKA
 
Tumemlilia Mungu muda mrefu sana, tumeimba mapambio ya kumsifu Mungu muda mrefu sana.Lakini maandiko yanasema Mungu huwa hakawii kuitimiza ahadi yake kwa mwanadamu.Wakati wa Mungu kujidhihisha ni sasa. Anaanza kuliweka taifa lake LA TANZANIA liwe huru na mafisadi
mkuu tusipoamua kufanya maamuzi wenyewe tutaendelea kumsubiri sana huyo mungu kiziwi, kwanza kwanini atuletee Rais kiazi namna hii?
 
Hoja ni nyie Vijana wa Lumumba kujitoa ufahamu kutetea wizi wa wazi ambao umelikumba Taifa,

Lizabon&CO Mnapaswa kubadilika.
Mkuu, yaani wewe umekuwa zezeta kiasi hicho mpaka unashabikia huu uzushi wa Yeriko. Tumemwambia atuwekee humu ushahidi vinginevyo atakuwa mpuuzi wa kupuuza tu
 
Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.

Sijui kama nyumbani kuna mtu anakuita baba
 
Kwa dakika kumi nilikuwa naangalia empty page nikitafakari cha kuchangia khs hili Taifa na mpaka sasa sijapata cha kuchangia nimeishia kuandika malalamiko yangu juu ya kukosa cha kuchangia........ngoja nisome habari zingine huko naweza kupata cha kusema hapa nimenyoosha mikono.

mkuu ni sarakasi kali nchi hii, huku katiba mpya wamechakachua, Jk hana furaha hata kidogo kuzaliwa Tanzania, familia yake na mabepari yanakwapua nchi, marekani, china na urusi wanataka gesi yetu bure, tembo wameamua kujihami kwa kuzaliana bila pembe, madawa ya kulevya ndio bidhaa iongozayo ku export..(??!) haya chagua mada mojawapo hapo juu uchangie
 
mkuu tusipoamua kufanya maamuzi wenyewe tutaendelea kumsubiri sana huyo mungu kiziwi, kwanza kwanini atuletee Rais kiazi namna hii?
Kwani wewe unaamini nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania kama si huyu tuliyenaye?
 
Hivi ile kinga yo rais mara akistaafu kushitakiwa imeondolewa kwenye katiba waliyojipendejezea?
 
Viongozi inatakiwa wajifunze kutoka mataifa mengine,hakuna aliyejua BEN ALLY angekimbia IKULU,TUNISIA,hakuna alijua GADAFI angezalilika,hakuna aliyejua Rais wa BUKINAFASO angefukuzwa IKULU,tusome alama za nyakati,hayo yote yanaweza kutokea kwetu
KIBOKO cha UONGO ni WAKATI~mzee wa UPAKO
 
mkuu naomba unipe hata kwa sentensi moja maana naona kwangu ni giza. uhusiano kati ya IPTL na PAP
 
Aisee,hii ni mbaya sana.Wanafanya biashara Ikulu? "Ikulu ni mahala pa takatifu" By J.K Nyerere
 
Kuna watu humu kama Lizaboni hawawezi kuandika hata mistari mitatu kupinga au kutetea hoja iliyo mezani zaidi ya kuleta mipasho.Kweli njaa ni utumwa wa mawazo!
 
Hoja ni nyie Vijana wa Lumumba kujitoa ufahamu kutetea wizi wa wazi ambao umelikumba Taifa,
Lizabon&CO Mnapaswa kubadilika.

Huyu Lizaboni ni mwanamke wa ajabu sna.Hakuna anachofahamu zaidi ya mipasho mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.

Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.

Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.

Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.

Pasco

Asante mkuu wa uchambuzi yakinifu, lakini theory ya conflict of interest itawatesa watawala ktk hili
 
Back
Top Bottom