DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wananchi na sisi tuna sehemu yetu katika kulishughulikia jambo hili.Wakati umefika sasa wakuwaonyesha Hawa kwamba imetosha!

Drama kwenye hili suala zimekuwa nyingi sana wakitaka kuupindisha ukweli na kutuaminisha tofauti.Hapa ni lazima tuhakikishe hatoki MTU,lazima kieleweke.

Wakati mwingine njia halali zinapowekewa vikwazo ni lazima tufikirie juu ya njia nyingine hata zisizo rasmi.Ni wakati wakuwang'oa hawa Wezi wakubwa.Inatia hasira sana.

Jamani wasomi wenzangu tuwe na muda pia wakuwaelimisha wananchi wengine.Hawa wanatumia sana ujinga wa watu kufanya wanachojisikia na kuliingiza taifa shimoni.
 
Kuna watu humu kama Lizaboni hawawezi kuandika hata mistari mitatu kupinga au kutetea hoja iliyo mezani zaidi ya kuleta mipasho.Kweli njaa ni utumwa wa mawazo!
Kwani wewe kwenye post hii umeandika kwa mistari mingapi?
 
Wananchi na sisi tuna sehemu yetu katika kulishughulikia jambo hili.Wakati umefika sasa wakuwaonyesha Hawa kwamba imetosha!

Drama kwenye hili suala zimekuwa nyingi sana wakitaka kuupindisha ukweli na kutuaminisha tofauti.Hapa ni lazima tuhakikishe hatoki MTU,lazima kieleweke.

Wakati mwingine njia halali zinapowekewa vikwazo ni lazima tufikirie juu ya njia nyingine hata zisizo rasmi.Ni wakati wakuwang'oa hawa Wezi wakubwa.Inatia hasira sana.

Jamani wasomi wenzangu tuwe na muda pia wakuwaelimisha wananchi wengine.Hawa wanatumia sana ujinga wa watu kufanya wanachojisikia na kuliingiza taifa shimoni.
Mkuu, yaelekea na wewe una siasa za jazba na mihemuko kama alivyo Dr Slaa. Hapa hao wananchi utawaambia nini kwenye hili sakata la Escrow?
 
Napenda kuwakumbusha Watanzania, Mataifa ya Ulaya na Marekani huwa hayakurupuki kutoa shutuma, ukiona wanatoa tamko ujue wana uhakika. Walieleza juu ya meli za Iran kutumia bendera ya Tanzania, Membe alikurupuka kukanusha kama kawaida yake, baadaye ikadhihirika ni kweli.
Mataifa ya Ulaya yalitishia kusimamisha misaada kutokana na ufisadi wa Richmond, kwanza serikali ilikanusha baadaye ilidhirika kuwa ni kweli kulikuwa na wizi.

Mataifa ya Ulaya yaliwahi kuelezea ufisadi katika manunuzi ya radar, serikali ikatoa maelezo marefu kuonesha hakuna ufisadi, baadaye ikadhihirika ni kweli.

Sasa wametoa tamko kuwa hakuna msaada kutolewa kwa Tanzania mpaka waone taarifa ya CAG kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, serikali imekanusha hakuna ufisadi.

Vyombo vya habari vya Ulaya vimeeleza kuhusu kuhusika kwa serikali ya Tanzania, CCM na China katika biashara haramu ya pembe za ndovu, Membe kama kawaida yake amekurupuka kukanusha lakini mambo hayo yote yatakuja kudhihirika kuwa ni kweli kwa 100%.

Taarifa ya Escrow ipo tayari lakini yaliyomo ndani ni balaa maana ni zaidi hata ya wananchi walivyokuwa wakiitegemea.

Hii iliyopo chini ni kama tetesi lakini ni tetesi yenye uhalisia. Endeleeni kufuatilia kashfa hii kubwa inayogusa ofisi kubwa zote za nchi.
______________________________ ______________________________ ____________

Ikiwa ni siku chache tangu Baraza la Usalama la Taifa kukutana na kupitia ripoti ya uchunguzi ya PCCB kuhusu ufisadi wa zaidi ya shilingi bilioni 200 kwenye akaunti ya Tegeta escrow Benki Kuu, Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa mkurugenzi wa PCCB Dr. Edward Hosea atamkabidhi Mh. Rais Jakaya Kikwete ripoti hiyo Jumatano ijayo kama ilivyoelekezwa na Baraza la Usalama wa Taifa.

Awali ripoti hiyo ilikuwa akabidhiwe Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lakini taarifa za ndani zinabainisha kuwa uzito wa ripoti hiyo unastahili Mkuu wa nchi mwenyewe kwani kuna maeneo ambayo Waziri Mkuu atastahili kuwajibika.

Ofisi nyingine zilizohusika kwenye ufisadi huu kwa mamlaka yao ni Wizara ya Fedha, Benki Kuu, TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, TRA, na baadhi ya vigogo Ikulu.

RIpoti hiyo imekwenda mbali zaidi kuonesha baadhi ya majina ya watu maarufu waliojipatia fedha hizo kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, akaunti ya kampuni ya VIP Engineering katika Benki ya Mkombozi iliyopokea hela za escrow imekutwa hela nyingi zimetoka kwenda kwa Wabunge,Mawaziri Majaji, na baadhi ya watu maarufu (hii ni kwa mujibu wa benki statement ya akaunti hiyo yenye kurasa 27 kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 14 Agosti 2014).

Baadhi ya majina ndani ya benki statement hiyo yalitumiwa pesa kupitia akaunti hiyo ni pamoja na Waziri Anna Tibaijuka, Waziri wa zamani William Ngeleja, Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi na mmoja wa Majaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mujulizi. Katika orodha hiyo kuna Wabunge, wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini, wote isipokuwa mmoja tu ambaye ni mtumishi mwandamizi wa zamani wa Serikali. Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Juhudi kubwa zinafanywa hivi sasa kuzuia taarifa ya CAG na PCCB isikabidhiwe Bungeni kwani kama itakuwa wazi inaweza kusababisha kuibuka kwa mtikisiko mkubwa.
 
Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.

Hivi kwako kipi bora nchi au chama?
 
Acha kukurupuka wewe. Tuwekee humu ushahidi kuwa Simba Trust inamilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete. Hizi ni porojo tu unaleta
 
Hayo ni mawazo yako yalipotoka mnona slaa alishindwa kupata hata kura elfu kumi akashindwa hata kusogea alipokuwa amesimama jk ni kiongozi hodari ndiyo maana kwa sasa tanzania haipo kwenye kundi la nchi 25 maskini duniani wakati2010 tulikuwa katika nchi kumi maskini soma hapa.

Mkuu mjepo swala la kura ni tofauti sana na kuwa na mamlaka ya kiutendaji na utekelezaji, kwani hata kwenye kula hata zuzu anaweza shinda kwa kupata kura nyingi tu tena za kutosha ila akashindwa kujua kateuliwa ili afanye nini hapo atapokuwa. Hivi wewe kama ni unafikili like a well matured person having clear concise unaweza sema kweli hii ndio Tanzania tunayo hiitaji?
 
Last edited by a moderator:
duuh!!!kweli humu ndani nimeamini kuna watu wanamaboga kichwani na wala sio ubongo makini yaani mnatetea nchi yenu ikifika mwaka.2020 iwe imekwisha kwa ajili ya familia chache tu ambao watakimbilia.ugaibuni na nyie wapuzi kubaki mnang'a macho hapa,,Tunashukuru kwa taarifa mkuu yericko.
 
Kwani wewe kwenye post hii umeandika kwa mistari mingapi?

Kila jambo ww unashabikia/pinga hata kama hulifahamu.Hapa watu wanaleta hoja lkn ww ni umbea tu kisa buku7 umeshakunjia kwenye sidiria!Kama jambo halifahamu bora ukae kimya utaonekana mwerevu na sio kutokwa povu!
 
Yericko angekuwa mzima angeweka hata kipande cha ushahidi ningemuona mtu lakini kutunga tunga tu kama isha mashauzi haina mashiko.

Kwann usimprove #yericko kua ni muongo kwa kuweka uthibitisho wa wamiliki wa aimba trust?
 
Mkuu hawa watu ni hatari sana kwa taifa letu, hawa lazima twende mguu kwa mguu,
na bado...!

Simba.trust.gif

3 Ribbonwood Street, SunnyBank Hills QLD 4109, Australia.
 
hivi hakuna uwezekano wowote wakulikisha hiyo report wananchi tukajisomea tu yakaisha?
 
Back
Top Bottom