Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Familia ya jk ni kubwa sana sijui inawezaje kuhusika yote watanzania wote ni familia ya jk kama hawa.
Yaelekea hujui hata maana ya familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia ya jk ni kubwa sana sijui inawezaje kuhusika yote watanzania wote ni familia ya jk kama hawa.
Stupidity is a profession. Ni upumbavu wa hali ya juu, watu wanaongelea mambo ya maana wewe wakati wote mawazo yako yapo kwenye kuoa na kuolewa. Kuoa au kuolewa inakusaidia nini wewe au Taifa? Tumia akili na jaribu kuchangia kitu cha maana katika mijadala ya kitaifa. Tukiendekeza michango ya kipumbavu na kijinga tutaendelea kuwa Taifa la wapumbavu na wajinga. Jenga hoja, kwa kufanya hivyo unasaidia vizazi vya sasa na baadaye, Taifa la leo na la kesho.
Je ni kweli Brela haiwajui wamiliki wa Simba Trust? Hapa ndipo kuna mzizi wa fitina kwa nini ESCROW haigusiki; kila anayejaribu kuigusa anaungua vidole. Huyo mhindi koko Harbinder Sing Sethi kweli anajua kucheza karata zake!
1. Sio sawa Pasco uandishi haumaanishi lololte linapokuja suala la kuhoji " degree of truth and validity" sababu uandishi ni fani na kipaji kama mtu hana fani wala kipaji hii haimaanishi ina compromise "degree of truth and validity" ya anachokisema ndio maana polisi unahojiwa ila anaandika anayejua kuandika unachokisema. Mathalani nyi mnaoitwa waandishi wengi wabovu saaanaaaa kuanzia composition mpaka eloquence!! Kama ni hoja basi tuhoji ukweli wa habari husika!
2. Kuhusu umri sawa kisheria ulivyosema lakini kama habari hiyo ni kweli kwa kiasi chochote kile haiwezi kumuacha huru kama unavyo wish mtajwa mkuu hata kama jina na umri wa wahusika viko wazi "socio-cultural-political-human" domains haziwezi kuachia moral and humane consciousness huru tu kwa hoja zako!!
Issue hapo ni kiasi gani habari hii ina ukweli????!!!
Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.
Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.
Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.
Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.
Pasco
Je ni kweli Brela haiwajui wamiliki wa Simba Trust? Hapa ndipo kuna mzizi wa fitina kwa nini ESCROW haigusiki; kila anayejaribu kuigusa anaungua vidole. Huyo mhindi koko Harbinder Sing Sethi kweli anajua kucheza karata zake!
hahahahahahahaaaaaa! Mwambie Dr Slaa aache uzinifu na badala yake aoe ili aishi maisha ya Ndoa. Kama dini ni kikwazo, anaweza kubadili ili apate haki yake ya kuishi maisha halali ya ndoa. Ndoa tamu jamani. Uzinifu haufai. Ni laana kwa Mungu na huondoa baraka ya maisha. Mambo mengine Dr Slaa anajitakia mwenyewe, pengine angeoa mpaka sasa angekuwa Presidaa wetu
Simba Trust inayomiliki 50% ya IPTL/ PAP ya nani?
weka ushahidi wa upuuzi uliouandika. Umbea tu mwisho utavalishwa kanga
Watu kama mjepo Lizaboni, MwanaDiwani, FaizaFoxy, Simiyu Yetu, ifweero na wengine kadhaa, yaani wako so low kuliko hata chawa ama kunguni...
hahahahahahahaaaaaa! Mwambie Dr Slaa aache uzinifu na badala yake aoe ili aishi maisha ya Ndoa. Kama dini ni kikwazo, anaweza kubadili ili apate haki yake ya kuishi maisha halali ya ndoa. Ndoa tamu jamani. Uzinifu haufai. Ni laana kwa Mungu na huondoa baraka yaS maisha. Mambo mengine Dr Slaa anajitakia mwenyewe, pengine angeoa mpaka sasa angekuwa Presidaa wetu
Mkuu Yeri, asante kwa taarifa hii, ila kama huko juu umeishasema uchunguzi umekuonyesha wamiliki wa hii kampuni ni kina fulani!, huwezi tena kumalizia kwa kuuliza swali ambalo tayari uchunguzi wako umeisha lijibu!.
Hii inamaana moja tuu, ama huna uhakika na hiyo ripoti ya uchunguzi, ama unajua kabisa kuwa sii kweli, ndio sababu ya hiyo inconsistance yako!.
Lakini ikitokea ikawa ni kweli, fuatilia umri wa hao wamiliki, kama wote wamevuka the age of the majority, then sio lazima kuwa ni mali ya familia, kwa sababu mtu akiisha vuka 18, ni legal person on her/his own independent of wazazi wake!.
Kama walikuwa hawajavuka 18!, hii inamaanisha na jamaa anafuata nyanyo za mtangulizi wake, "kufanya biashara "mahali patakatifu" pale!.
Pasco
Hata wale wanaokutuma nao pia ni familia ya jk hata wewe kama ni mtanzania halisi basi ujue ni familia ya jk,wazee wako hawa wote familia ya jk.
Familia ya JK ni ya mafisadi, hata wewe unayetetea unajua fika, ila kwa kuwa umelipwa kusema hayo unayosema we endelea tu. Kuna siku kibarua kitaota nyasi tutakutana tu kama raia wa kawaida.