DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbowe na Slaa wameingiziwa kwenye accounts zao pesa nyingi sana na Kalasinga wa PAP.
 
Nimekosa hata cha kuandika kwa sababu ya HASIRA!

CCM!Go to hell!
 
Mengi yamesemwa lakin hatuwezi kusema chochote maana wenye mamlaka wamelala! Nenda katika mikoa yenye neema tabu wanazopata utafikiri eneo halina utajiri mfano nenda Simanjiro (hakuna barabara ya Lami hata moja japo Tanzanite inapatikana Simanjiro tu duniani kote!, Nenda wilayani Chunya kuna dhahabu infukuliwa lakini angalia makao makuu ya wilaya, barabara zake zilivyo, Nenda Kankonko kuna dhahabu tele mpaka mchanga unabebwa maana una mali lakini angalia Kakonko iivyo, Nenda Lindi inapotoka gesi kabla ya mradi mkubwa gesi utakosa pa kusema kuna neema ya gesi, Nenda wilayani Namtumbo inakotoka Uranium toka Selou hata Kibaigwa ya barabarani ni kubwa, Nenda Tunduru ambako kuna Red na Blue suphire wilaya haieleweki kama kuna cha kujisifia, Nenda Tabora mkoa umejaliwa kuwa na mapori ya kutosha lakini kuna nini la kujisifia Tabora hata treni tu wameiua ili walete mabasi na malori ya mizigo, Nenda Mpanda pitia Inyonga utaona neema ya misitu lakini je inawanufaisha wananchi? Nenda kanda ya ziwa kuna kila aina ya utajiri lakini je kuna lolote la kusema! Nenda Arusha kuna hifadhi za Taifa kibao hata ikaamuliwa makao makuu ya hifadhi yawe huko kuna nini? Nenda Loliondo, Ngorongoro, nenda Mpwapwa). Nchi hii wananchi walo wengi bado wamelala kwa kutotambua haki zao na siku watakapozitambua patajachimbika. "TUOMBE MUNGU ATUSAIDIE VIONGOZI WETU WAZINDUKE WATEKELEZE MAJUKUMU YAO VIZURI ILI KILA MWANANCHI AFAIDI/ANUFAIKE UTAJIRI WA NCHI YAO"
 
Miongoni mwa mataifa hapa duniani yenye governance ya hali ya juu wakati mwingine zaidi ya Marekani ni Australia nitashangaa sana hapo nitakaposikia kweli... wanaingilika kirahisi kiasi hicho.
 
Wameenda kwa gia ya foreign investors ila ndo ishabumburuka kumbe ni kikampuni cha kutakasa pesa za escrow
 
Porojo refu hakuna ukweli na una yo Andika
Tatizo la wa TZ wanapenda sana kudhulumu . Mimi sikubaliani na hola ya ufisadi.kama ufisadi ni pale mkataba huu ulipowekwa miaka ya 90
Jeee hawa IPTL walizalisha umeme bure ? Jee kuweka capacity changes ni sawa ..? Kwa maradi mikubwa kama hii mtu kuwekeza uzalishaji umeme na wakati msambazaji ni mmoja tu yaani Tanesco basi capacity charges ni muhimu ili kulinda investment ya investor.
Tatizo lilianza kwa walokubali miaka hio ya 90 kusaini .walikubali kwa charges za juju
Hata iweje serikali ingewajibika kulipa fedha hizi...kama sio kwa wanunuzi wa IPTL BASI kwa IPTL wenyewe.
Sio Kama watu hawajala ,,, ni kawaida fedha ya serikalini halitoki bure. Hata karani akitumwa kutoa copy basi anaweka yake . Bila Shaka kuna watu wamepata chochote lakini ni Katika mambo ya ahsante. Au takrima...lakini sio Kama kuna wizi umetokea iwavo na iwe lakini pesa lie mwisho wake iende kwa wenyewe
 
Kaka acha ushabiki je Songas ni mawe ,hii gas ya Songas ilitakiwa itumike IPTL na wajanja hawakutaka kufanya hivyo matokeo yake wanaofaidi ni viwanda kama Wazo Hill cement,sijui kwa nini Wa TZ ni wavivu wa kufikirisha akili tumekuwa kama kasuku,gas ya Songas ipo siku nyingi na mabomba yapo hadi viwandani.

Halafu cha ajabu Cement inayozaliswa na Umeme ni bei sawa na inayozalishwa na GAS. only in TZ.
Tena kumbuka inatoka Mbeya au tanga lakini ikifika dar ni bei sawa na twiga.
 
Wameenda kwa gia ya foreign investors ila ndo ishabumburuka kumbe ni kikampuni cha kutakasa pesa za escrow
Those guys they do due deligence ya hali ya juu... Katika eneo ambalo familia ya Mh. Rais naijua haiko fiti ni mambo ya biashara.... So nasubiria kuona ukweli... though by 95% nafahamu ni marororoso tu... hakuna lolote.
 
Porojo refu hakuna ukweli na una yo Andika
Tatizo la wa TZ wanapenda sana kudhulumu . Mimi sikubaliani na hola ya ufisadi.kama ufisadi ni pale mkataba huu ulipowekwa miaka ya 90
Jeee hawa IPTL walizalisha umeme bure ? Jee kuweka capacity changes ni sawa ..? Kwa maradi mikubwa kama hii mtu kuwekeza uzalishaji umeme na wakati msambazaji ni mmoja tu yaani Tanesco basi capacity charges ni muhimu ili kulinda investment ya investor.
Tatizo lilianza kwa walokubali miaka hio ya 90 kusaini .walikubali kwa charges za juju
Hata iweje serikali ingewajibika kulipa fedha hizi...kama sio kwa wanunuzi wa IPTL BASI kwa IPTL wenyewe.
Sio Kama watu hawajala ,,, ni kawaida fedha ya serikalini halitoki bure. Hata karani akitumwa kutoa copy basi anaweka yake . Bila Shaka kuna watu wamepata chochote lakini ni Katika mambo ya ahsante. Au takrima...lakini sio Kama kuna wizi umetokea iwavo na iwe lakini pesa lie mwisho wake iende kwa wenyewe

Mkuu tatizo sio kuweka capacity charges,bali ni uhalali wa kiwango kilichowekwa.

Hao waliosaini miaka ya 90 walisaini kwa KUDANGANYWA kwamba mtaji wa IPTL ni usd 105m wakati mtaji uliowekezwa ulikuwa 84m usd.

Capacity charges zikakokotolewa kulingana na mtaji wa 105 badala ya 84,Tanesco ikashtukia ishu baadae ilipogundua jamaa walichukua mkopo wa 105m usd benki lakini wakatumia 84m usd halafu wamesaini mkataba unaoifanya Tanesco kulipa gharama basing on the amount of money appearing as a debt kule bank,upo hapo?

Sasa unaelewa legal remedies pale one party to the contract anaposainishwa mkataba kwa kudanganywa?
 
Okey sawa lakini mbona mahakama zetu hazija amua in favor ya tanesco?
Au nazo zimekatiwa ?
Hii ishu pia inatokana ujinga jinga.
Zamani serikali ilijenga Mtera Kihansi Pangani Kidatu na nk . Hizi zote zikimilikiwa na serikali 100% .
Leo tumetiwa ujinga na wazungu tunawapa watu kuzalisha umeme.
Hii si biashara hii ni national service na jambo muhimu la uchumi na usalama wa nchi.
Leo watu tunakubali ushauri za kijinga kabisa kama hatuna akili.
Leo wangewezeshwa tanesco kununua majenereta wakazalisha umeme bila shaka bei ingekuwa chini
Sasa kuna maporomoko huko rufiji na singida badala ya kuwawezesha tanesco wakazalisha umeme tutawapa watu binafsi.mambo ya ajabu kabisa..
 
Nimeelewa kwa nini Yericko kaanzisha uzi huu.
Kwanza sio rahisi mtu timamu kama Yericko akaanzisha uzi wenye tuhuma nzito hivi kwa wakuu wa nchi bila kujiridhisha kuwa yuko salama kisheria kuandika jambo zito hivi.

Naamini Yericko si mjinga,anajua anachofanya na huenda there are powerful people behind him.

Jambo moja linaonekana hapa na hasa kwa kuzingatia maneno yake Yericko mwenyewe,inaonekana kulikuwa na njama za kuizuia report ya CAG kuwekwa wazi na hasa bungeni,hivyo Yericko na wenzie wameamua kukinukisha mapema ili kuifanya kazi ya kuficha report halisi ya CAG kuwa ngumu kwa sasa.

Suali ninalojiuliza ili nipate bigger picture ni namna haya ya uzi huu yanavyohusiana na kilichomo kwenye hiyo report.

I'm just curious!
 
Okey sawa lakini mbona mahakama zetu hazija amua in favor ya tanesco?
Au nazo zimekatiwa ?
Hii ishu pia inatokana ujinga jinga.
Zamani serikali ilijenga Mtera Kihansi Pangani Kidatu na nk . Hizi zote zikimilikiwa na serikali 100% .
Leo tumetiwa ujinga na wazungu tunawapa watu kuzalisha umeme.
Hii si biashara hii ni national service na jambo muhimu la uchumi na usalama wa nchi.
Leo watu tunakubali ushauri za kijinga kabisa kama hatuna akili.
Leo wangewezeshwa tanesco kununua majenereta wakazalisha umeme bila shaka bei ingekuwa chini
Sasa kuna maporomoko huko rufiji na singida badala ya kuwawezesha tanesco wakazalisha umeme tutawapa watu binafsi.mambo ya ajabu kabisa..

Hilo la mahakama hebu pitia uzi hapo una majibu ya mbaali.

Haya mengine nakubaliana nawe kabisa mkuu.

Vurugu zote hizi ni kwa kuwa tumejenga dhana ya kutegemea wageni kuwekeza hapa nchini,matokeo yake ndio haya.
Ila pia nafikiri tumelazimishwa na baadhi ya watz wenzetu "kuwapendelea wageni" ili watz hao watumie fursa ya mikataba ya kimataifa kuliibia taifa bila kubanwa kirahisi.

Huenda hata hayo makampuni ya huko nje ni ya wabongo wenzetu na hao wageni ni facelift tu.
 
Mkuu Juve2012,

Ina maana na huu mradi ya yale yale madudu kuwa wataweka mkataba mkubwa na kuchota hela za Mkopo?

Mkuu tatizo sio kuweka capacity charges,bali ni uhalali wa kiwango kilichowekwa.

Hao waliosaini miaka ya 90 walisaini kwa KUDANGANYWA kwamba mtaji wa IPTL ni usd 105m wakati mtaji uliowekezwa ulikuwa 84m usd.

Capacity charges zikakokotolewa kulingana na mtaji wa 105 badala ya 84,Tanesco ikashtukia ishu baadae ilipogundua jamaa walichukua mkopo wa 105m usd benki lakini wakatumia 84m usd halafu wamesaini mkataba unaoifanya Tanesco kulipa gharama basing on the amount of money appearing as a debt kule bank,upo hapo?

Sasa unaelewa legal remedies pale one party to the contract anaposainishwa mkataba kwa kudanganywa?
 
Last edited by a moderator:
Okey sawa lakini mbona mahakama zetu hazija amua in favor ya tanesco?
Au nazo zimekatiwa ?
Hii ishu pia inatokana ujinga jinga.
Zamani serikali ilijenga Mtera Kihansi Pangani Kidatu na nk . Hizi zote zikimilikiwa na serikali 100% .
Leo tumetiwa ujinga na wazungu tunawapa watu kuzalisha umeme.
Hii si biashara hii ni national service na jambo muhimu la uchumi na usalama wa nchi.
Leo watu tunakubali ushauri za kijinga kabisa kama hatuna akili.
Leo wangewezeshwa tanesco kununua majenereta wakazalisha umeme bila shaka bei ingekuwa chini
Sasa kuna maporomoko huko rufiji na singida badala ya kuwawezesha tanesco wakazalisha umeme tutawapa watu binafsi.mambo ya ajabu kabisa..

Kwa ufupi mkuu kuhusu hilo la mahakama,inasemekana mahakama haikutoa hukumu inayotoa uhuru wa moja kwa moja kwa account ya escrow kutolewa hela zake kiholela kama ilivyofanyika isipokuwa ni kikao cha wizara kilikaa na kuamua kutafsiri hukumu ya mahakama wrongly in favour of IPTL na kuiamuru BOT kuilipa PAP.
 
Back
Top Bottom