Hilo la mahakama hebu pitia uzi hapo una majibu ya mbaali.
Haya mengine nakubaliana nawe kabisa mkuu.
Vurugu zote hizi ni kwa kuwa tumejenga dhana ya kutegemea wageni kuwekeza hapa nchini,matokeo yake ndio haya.
Ila pia nafikiri tumelazimishwa na baadhi ya watz wenzetu "kuwapendelea wageni" ili watz hao watumie fursa ya mikataba ya kimataifa kuliibia taifa bila kubanwa kirahisi.
Huenda hata hayo makampuni ya huko nje ni ya wabongo wenzetu na hao wageni ni facelift tu.
Hivi ni kitu gani kinachotufanya sisi wtz kutoamini kile kinachoonyeshwa na mtu asye kiongozi bali tunaamini vitu vya giongozi hata kama ni kiuongo?