Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Familia yenyewe wana ushahidi wa kuthibitisha kuwa Magufuli hakuua?.
 
Ila @ Nyani Ngabu wewe ni nani kutaka Kabendera aburuzwe mahakamani? What if ana ushahidi? Utareconmend auawe?
I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.m
 
Hata nchi zenye vita wanalima na kuzaliana. Kama hauamini kaangalie DRC Congo, kisha tazama idadi ya watu na sisi watanzia tunaoongozwa na chama kimoja kwa shuruti.
Wanalima halafu WANYAMULENGE wanayachoma moto mazao ....

Wanazaliana kwa wale wanawake na wanaume WASIOUAWA kila uchao....

CCM haiongozi kwa shuruti.....watanzania hawaoni mbadala nje ya CCM....
 
Kama anao ndo vizuri sasa.
Wewe ni mtu mwenye heshima zako ndani ya Jf ...tena muda mrefu,hudhani bandiko lako linaweza kumnyima haki anayepaswa na kuyapa majangili ushindi? Magufuli alikua malaika?
 
Familia yenyewe wana ushahidi wa kuthibitisha kuwa Magufuli hakuua?.
Familia haiwajibiki kuthibitisha hakuua.

Mwenye wajibu wa kuthibitisha ni anayetoa tuhuma.

Kuna watu bado mna ujinga wa kutisha na kusikitisha sana.
 
Vitu vya kuambiwa sio ushahidi, ninashangaa kusikia msomi wa fani ya sheria anasema "niliambiwa na mtu mkubwa " huo ukubwa sio ushahidi. Fikiria kuwa mtu kuuwawa tena ikulu, ofisi ya serikali, huyu jamaa ana ujasiri gani wa kuchafua ikulu? Sasa tunaomba uchunguzi wa kisayansi kuhusu hilo jambo.
 
Wewe ni mtu mwenye heshima zako ndani ya Jf ...tena muda mrefu,hudhani bandiko lako linaweza kumnyima haki anayepaswa na kuyapa majangili ushindi? Magufuli alikua malaika?
Hahahaaa! Mimi nina heshima gani hapa JF jamani? 🤣

Ulichokiandika hata sijakielewa na wewe mwenyewe sidhani hata unakielewa.
 
Magufuli aliacha Familia!?
 
Familia haiwajibiki kuthibitisha hakuua.

Mwenye wajibu wa kuthibitisha ni anayetoa tuhuma.

Kuna watu bado mna ujinga wa kutisha na kusikitisha sana.
Mzee Kibao aliuawa na Polisi,Nondo alitekwa na polisi...ulitaka waje FBI kuthibitisha tuhuma dhidi ya polisi au ulitaka waliokuwepo kwenye eneo la uhalifu wakahojiwe na waliofanya uhalifu ?
 
It strains credulity!

Yaani sitting president analetewa mtu Ikulu ili amuue yeye mwenyewe?

Hahahaa Kabendera is full of it.
 
Mzee Kibao aliuawa na Polisi,Nondo alitekwa na polisi...ulitaka waje FBI kuthibitisha tuhuma dhidi ya polisi au ulitaka waliokuwepo kwenye eneo la uhalifu wakahojiwe na waliofanya uhalifu ?
Sijaelewa ulichokiandika.
 
Katika watu hao mimi niko msitari wa mbele kabisa. Kwa bahati mbaya sidhani kama yuko mwenye ujasiri wa kufanya hivyo!
Natamani sana waende mahakamani, tutajua wapi panuvuja.

Unajua mtu anayeandika hadi ''mto rufiji'' ana kila kitu. Akiulizwa ushahidi atamtaja dereva aliyepeleka mzigo siyo source yenyewe.
Dereva kwasababu ni weak na hana pesa ndiye atafungua '' can of worms''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…