Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Kwa hiyo Kabendera na wenzake wanaweza kuzusha mambo na kujificha chini ya hiyo ‘pandora’s box’.

Simwamini Kabendera wala Lisu. Ni watu waongo waongo sana.

Ni wazushi.

Familia ya Magufuli wasipofanya kitu juu ya hizo tuhuma, nitawadharau sana.
Familia ya Magufuli ina amani sana kwa sasa kuliko alivyokuwa hai. Hakuna mtu anataka kukumbuka DIKTETA
 
Ila Jiwe alikuwaga anatembea na chuma kibindoni - yawezekana alimpasua baada ya dogo kugoma kuomba radhi hadharani kuhusu mabandiko yake ya kuhoji Pi Hechi Dii.
 
Binafsi sioni sababu ya kumtupia lawana Kabendera, kwanza Erick Kabendera ni mhanga WA utawala wa jiwe, alionja machungu ya utawala wa magu na pengine kuna mengi anayajua kupitia Hilo na hakuweza kusema hadharani, pili Magu mwenyew akiwa hai alishindwa katika utawala wake kusaidia kujua wapi ama nini kilimpata Sanane. Sioni namna ya kumtetea jiwe vinginevyo aende mahakamani wakapingane Kwa ushahidi.
 
Ila Jiwe alikuwaga anatembea na chuma kibindoni - yawezekana alimpasua baada ya dogo kugoma kuomba radhi hadharani kuhusu mabandiko yake ya kuhoji Pi Hechi Dii.
Rais muda wote huzungukwa na watu. Huu ni uzushi.
 
Ila yule baba alikuwa ana roho ngumu sana , aliwafukuza kazi wapiga kura Wake, hiki kitu kilinishangaza saana
 
Binafsi sioni sababu ya kumtupia lawana Kabendera, kwanza Erick Kabendera ni mhanga WA utawala wa jiwe, alionja machungu ya utawala wa magu na pengine kuna mengi anayajua kupitia Hilo na hakuweza kusema hadharani, pili Magu mwenyew akiwa hai alishindwa katika utawala wake kusaidia kujua wapi ama nini kilimpata Sanane. Sioni namna ya kumtetea jiwe vinginevyo aende mahakamani wakapingane Kwa ushahidi.
Kabendera ni mzushi.
 
Ushahidi wa mazingira unaonyesha hivyo
Kitabu kimeelezea unyama mwingi wa Magufuli, mpaka kipigo kwa mke wake kilichomfanya azimie, pia kimesema alienda wa Samia usiku akiwa na nguo za usiku (sijui alitaka kumbaka) na mambo mengine mengi. Nyani Ngabu ataingia mwezini akikisoma chote.
 
Kabendera ni muongo. Inavyoelekea dishi lake limeyumba.

But you are sucker. So suck him 😉.
 
Rais muda wote huzungukwa na watu. Huu ni uzushi.
Jiwe akiamua kuna mtu wa karibu naye wa kuguna...Radio mbao wanasema kabla hajakata kauli alimtaka CDF achukue nchi...madai kwamba CCM kuna wajinga wengi wangetesa wananchi hasa rushwa.
 
Na familia ambazo Magufuli amesababisha wabaki yatima na wajane nao wamshtaki nani? Yani watu waliouwawa na serikali ya magufuli nyie mnaona yeye ndo ana haki ya kupiganiwa tu.

Hii nchi viazi ni wengi sana. Kwanza mimi nilivyosikia magufulia amefariki usiku ule niliamka hapo hapo nikaenda bar kujipoza kidogo. He was rude.

Ameiharibu nchi mpaka sasa hawaoni shida kuua, yani mpaka hotuba ya juzi ya mama yenu anatoa hotuba alaf haoni kama utekaji na mauaji kwa mwaka 2024 ni tatizo. Yani anaona kama waliokufa ni kuku tu au panzi vile
Sio waliokufa bali "waliouawa" na watu wao
 
Swali tu kwako Nyani Ngabu, je unakubaliana na dai kuwa Ben Saanane aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani au na huo unadai ni uongo?
  • Hebu sasa tuchukue hii scenario ya kwanza kwamba aliuawa kwa kupigwa risasi.
  • Je unakubaliana nami kuwa aliyempiga risasi pia ni binadamu na si robot?
  • Kama unakiri ni binadamu, je huyo Magufuli anayetajwa hakuwa binadamu?
  • Kitu gani kinakusukuma umuondoe Magufuli kama mtuhumiwa kwenye tukio kama hilo?
Scenario ya pili itafuata baada ya jibu lako.
 
Tungekuwa na polisi wanaojielewa wangekuwa wamemkamata na kuanza kumhoji kuthibitisha ushahidi na kama ni uongo abanwe kende zake Hadi zipasuke.Huwezi kuua mtu ikulu mbele ya umati wa watu.Haya madai anaweza kuyaamini kichaa tu
Mbele ya watu au mbele ya "wazee wa kitengo" ambao ndio hao hao wanatumwa " kuwachinja wanaomkosoa". Nani angeweza kumuuliza chochote yule shetani!?
 
Swali tu kwako Nyani Ngabu, je unakubaliana na dai kuwa Ben Saanane aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani au na huo unadai ni uongo?
  • Hebu sasa tuchukue hii scenario ya kwanza kwamba aliuawa kwa kupigwa risasi.
  • Je unakubaliana nami kuwa aliyempiga risasi pia ni binadamu na si robot?
  • Kama unakiri ni binadamu, je huyo Magufuli anayetajwa hakuwa binadamu?
  • Kitu gani kinakusukuma umuondoe Magufuli kama mtuhumiwa kwenye tukio kama hilo?
Scenario ya pili itafuata baada ya jibu lako.
Nakataa kwamba Ben Saanane alipigwa risasi na Magufuli Ikulu.
 
Kabendera anadai pia kwamba JPM na close advisors waliugua (na kufa kwa) COVID-19. Another unverified allegation

IMG_6036.jpeg
 
Back
Top Bottom