Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

Mtashangaa huyo mtu kesho kaamkia ubalozi wa Marekani kuomba ukimbizi.
Kuandika hivyo ni mbinu tu
 
Exactly! Publisher aliona hili jambo na anajua madhara yake. Kabendera ni Mwandishi wa Kimataifa anajua madhara yake. Watu waliofanya review ni wenye weledi wanajua madhara yake. Wanasheria wa Kabendera wanajua madhara yake. Yote hayo bado imendikwa ''Boldy''

Nina uhakika kuna watu wanatamani na kuomba hili suala liende mahakamani!
 
Nenda usambaani wakakutibu akili yako ipone umekuwa ni kituko jukwaani
tulikubalia humu kama wadau wa JF, kwamba mihemko, makasiriko na chuki binafsi tuziache 2024, ndrugu zangu mbona bado mnaendekeza chuki aise hadi 2025?

mbaya zaidi,
huna mawazo mapya wala huna fikra mbadala bora zaidi ya hoja au reply mahususi jukwaani.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
 
Magufuli alikuwa kichaa na mlevi wa madaraka aliyependa kusifiwa sana. Hizi tuhuma sio mpya na kwa mtu anayemjua vizuri huyo shetani wa Chato, hilo tukio alilifanya na mengine mengi kama hilo
Ndiyo mtaenda mkatoe ushahidi sasa! Mwandishi kaandika ujinga!
 
Saa100 ndiye mbaya kuliko Magufuli . Ikifika 2030 mtakumbuka maneno yangu
Hili ni kweli kabisa huyu amempita kwa mbali sana Magufuli kwa uovu,yaani hii awamu ya sita ya mchongo tunaweza kabisa kuibatiza na kuiita awamu ya "ubaya ubwela".
 
Tuondolee fanatism yako hapa jukwaani, huu upumbavu utatutoa kwenye harmony please grow up, modes wanakuachia wanaharibu peleka ujinga wako mahala pa imani husika
 
Acha upumbavu kwani jambo kama hilo linashindikana kutekelezeka? Kwani mfu yule hakuwa na mikono ya kupress trigger?,kwani mfu yule hakuwa na uwezo wa kuwa na silaha,kwani mfu yule hakuwa na uwezo wa kutekeleza kitu kama hicho na kukifanya kiwe siri?,kwa akili zake mbovu,jazba, na ubabe nini kingemzuia kutekeleza uhayawani wake wake
 
Magufuli alikuwa kichaa na mlevi wa madaraka aliyependa kusifiwa sana. Hizi tuhuma sio mpya na kwa mtu anayemjua vizuri huyo shetani wa Chato, hilo tukio alilifanya na mengine mengi kama hilo
duh! Mh!
 
Mwandishi wa kitabu ni mjinga, unamtungia mtu kitabu kwa taarifa za kusikia na kuokoteza?

Ujinga wake mwingine, ameweka hiyo picha kama Cover kujustify eti JPM alikuwa anatembea na bunduki bila kujua hiyo bastola alienda nayo kuhamasisha ukaguzi wa silaha, haiwezi kutumika kama uthibitisho wa yeye kutembea na silaha.

Mamlaka zinapaswa kuingilia Kati na ikiwezekana kumkamata kabendera Kwa kuvunja katiba ya nchi otherwise tubadirishe katiba sasa na kuwashitaki maraisi kwa makosa yao wakiwa madarakani.
Maana kitabu ni kama kimemhukumu JPM kwa makosa yake akiwa Rais wakati katiba inatuambia Marais wakistaafu wasiguswe.

Kama Mamlaka zinaona hii ni sawa, basi watakapokuja waandishi wengine na kuandika juu ya mabaya ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK na Samia nayo isilete kelele iwe sawa tu.
 
Kwamba serikali haikujua kilichomo ndani ya hicho kitabu kabla ya kutoka?
 
Huyu jamaa ni juha pumbavu amekuja na anaruhusiwa kuharibu amani jukwaani, maana kuna waislamu waungwana ukimshambulia huyu chizi utaumiza hisia za wengine wenye akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…