Mkuu si uje wewe bongo umshtaki.I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu si uje wewe bongo umshtaki.I’m all for it. Ila Kabendera naye ni lazima atoe ushahidi na awataje waliomwambia.
Kweli ni vichaa tu wanaoweza kumtetea muuaji MagufuliTungekuwa na polisi wanaojielewa wangekuwa wamemkamata na kuanza kumhoji kuthibitisha ushahidi na kama ni uongo abanwe kende zake Hadi zipasuke.Huwezi kuua mtu ikulu mbele ya umati wa watu.Haya madai anaweza kuyaamini kichaa tu
Exactly! Publisher aliona hili jambo na anajua madhara yake. Kabendera ni Mwandishi wa Kimataifa anajua madhara yake. Watu waliofanya review ni wenye weledi wanajua madhara yake. Wanasheria wa Kabendera wanajua madhara yake. Yote hayo bado imendikwa ''Boldy''Kuna kitu kinaitwa pandora box, je familia ya jiwe ina ujasiri wa kubariki na kutaka lifunguliwe?
Hiyo kesi haitakuwa tu ya kitaifa, itakuwa ya kimataifa. Dunia yote itafuatikia yanayojiri.
Be careful of what you wish for Nyani Ngabu! Je unajua kwa nini hakuna uchunguzi wowote ule ulifanyika?
Unachowashauri wana familia wakifanye ni ujinga, ndiyo ni ushauri wa kijinga.
Juhudi gani zilifanywa na jemadari mkuu kumlinda raia wake Ben Saanane? Hakuna!
tulikubalia humu kama wadau wa JF, kwamba mihemko, makasiriko na chuki binafsi tuziache 2024, ndrugu zangu mbona bado mnaendekeza chuki aise hadi 2025?Nenda usambaani wakakutibu akili yako ipone umekuwa ni kituko jukwaani
Ndiyo mtaenda mkatoe ushahidi sasa! Mwandishi kaandika ujinga!Magufuli alikuwa kichaa na mlevi wa madaraka aliyependa kusifiwa sana. Hizi tuhuma sio mpya na kwa mtu anayemjua vizuri huyo shetani wa Chato, hilo tukio alilifanya na mengine mengi kama hilo
Hili ni kweli kabisa huyu amempita kwa mbali sana Magufuli kwa uovu,yaani hii awamu ya sita ya mchongo tunaweza kabisa kuibatiza na kuiita awamu ya "ubaya ubwela".Saa100 ndiye mbaya kuliko Magufuli . Ikifika 2030 mtakumbuka maneno yangu
Imshitaki kwa kusema ukweli?!Naunga mkono hoja.hata kama serikali haitachukua hatua basi familia imshtaki huyu mpuuzi
Tuondolee fanatism yako hapa jukwaani, huu upumbavu utatutoa kwenye harmony please grow up, modes wanakuachia wanaharibu peleka ujinga wako mahala pa imani husikaProfesa Michael H. Hart: Mwanafizikia na mwanaastronomia Mmarekani, aliyeandika kitabu "The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History". Katika kitabu hiki, alimweka Mtume Muhammad katika nafasi ya kwanza, akimuelezea kama mtu mwenye ushawishi mkubwa zaidi katika historia ya binadamu kutokana na mafanikio yake katika nyanja za kidini na kisiasa.
Kwa nani?Kabendera ana wajibu wa kutoa ushahidi wa madai yake.
Acha upumbavu kwani jambo kama hilo linashindikana kutekelezeka? Kwani mfu yule hakuwa na mikono ya kupress trigger?,kwani mfu yule hakuwa na uwezo wa kuwa na silaha,kwani mfu yule hakuwa na uwezo wa kutekeleza kitu kama hicho na kukifanya kiwe siri?,kwa akili zake mbovu,jazba, na ubabe nini kingemzuia kutekeleza uhayawani wake wakeKatika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni dai kubwa na zito sana.
Ni kashfa kubwa sana. Kwa mtu tu wa kawaida, kutuhumiwa kuua mtu mwenzio si jambo dogo. Seuze Rais wa nchi?
Wengi wetu kwa sasa tutakuwa tumeshaiona hii excerpt ya hicho kitabu:
View attachment 3190381
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa Rais Magufuli anaweza kumuua kijana wa Kitanzania, ambaye ni mtu mdogo sana, in the grand scheme of things, kwa mikono yake mwenyewe tena kwenye nyumba ya wananchi, Ikulu.
Tumeshawazoea akina Lissu na wenzake kuropoka na kutoa tuhuma za ajabu ajabu bila kutoa wala kuonyesha ushahidi wowote ule zaidi ya kusema ‘nimeambiwa’ au ‘niliambiwa’.
Lissu keshawahi kusema mara kadhaa kuwa baada ya Magufuli kufariki, eti nyumbani kwake yalikutwa mabulungutu ya mahela, dola za Kimarekani, kwenye mamilioni.
Bila ushahidi wowote ule zaidi ya ‘kuambiwa’, tuhuma hizo zinabaki kuwa ni porojo tu za Lissu.
Na ndo maana pengine hata familia ya Rais Magufuli haijawahi kusema wala kufanya chochote dhidi ya madai hayo.
Ila hili la Magufuli kutuhumiwa kuwa ni cold-blooded murderer, si la kawaida na halipaswi kupuuziwa.
If not true, what Kabendera did is libelous and should sued.
Mimi si mtaalamu wa sheria za Tanzania. Lakini naamini sheria za libel zipo.
Licha ya kwamba Rais Magufuli alikuwa ni public figure, kuna vitu huwezi kuvisema dhidi yake bila ushahidi.
Tuhuma za mauaji kwa mtu yeyote yule, humtia doa kubwa sana kwenye jamii, mtu huyo.
Majuzi hapa tumeona kituo cha televisheni cha Marekani, ABC, kilikubali kumlipa Rais Trump $15 milioni kwa sababu mmoja wa watangazaji wake alisema kimakosa kuwa Trump alipatikana na hatia ya ubakaji wakati si kweli.
Kubaka ni moja ya makosa yanayompa mtu doa la maisha.
Uuaji, kwangu mimi, ni kosa lililo juu ya ubakaji.
Sasa huyu jamaa Kabendera anakuja na tuhuma nzito namna hiyo tena kwa Rais mzima bila hata ushahidi wowote ule zaidi ya kusema kaambiwa na vyanzo vyake.
Hapana kwa kweli. Tuhuma kama hizo ni nzito sana kuachwa hivi hivi tu, la sivyo kama ni za ukweli.
Familia ya Rais Magufuli ikimwacha huyu jamaa bila kumburuza mahakani akatoe testimony yake huko under the penalty of perjury, itakuwa ni usaliti mkubwa sana kuwahi tokea nchini.
Yaani kabisa Rais Magufuli ampige risasi ya/za kichwa huyo Ben Saanane hapo Ikulu, halafu watu wa Magufuli waichukue maiti yake na kwenda kuitupa kwenye moto Rufiji?
Vigumu sana kuamini hilo.
Familia ya Rais Magufuli ni lazima ichore mstari mchangani na kuchukua hatua.
La sivyo, mtatufanya watu kama mimi tuamini kuwa yanayosemwa ni ya kweli.
duh! Mh!Magufuli alikuwa kichaa na mlevi wa madaraka aliyependa kusifiwa sana. Hizi tuhuma sio mpya na kwa mtu anayemjua vizuri huyo shetani wa Chato, hilo tukio alilifanya na mengine mengi kama hilo
Huyu jamaa ni juha pumbavu amekuja na anaruhusiwa kuharibu amani jukwaani, maana kuna waislamu waungwana ukimshambulia huyu chizi utaumiza hisia za wengine wenye akili timamuJibu swali, alikuwa kiongozi wa kisiasa? Nchi au eneo gani? Huo ushawishi anaozungumzia huyo Prof wako ni ushawishi wa sasa wa kidini baada ya Uislam kusambaa, mi nakuuliza miaka hiyo akiwa hai alikuwa kiongozi nchi au eneo lipi? Maana nikisoma historia yake alikuwa mtu wa kuhamahama kwa kufukuzwa au kukimbia maadui zake.
Nyani Ngabu ujue unaheshimika humu, ukija na maandiko kama haya utashangaza!Uharo ni huu uliouandika wewe. Keep it moving.
Kwa watu wenye akili mgando kama zako tu lakini wenye akili timamu hawapingani na ukweli wewe jifungie tu kwenye box.Eric Kabendera na TAL, vichwa na akili zao,ni sawa!
Ni watu wa kuepukwa sana
Athibitishe kwa ushahidi mahakamani.Imshitaki kwa kusema ukweli?!