Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia anashirikiana na baadhi ya madiwani wachache wa halmashauri hizo, anatumia nguvu ya pesa ili amilikishwe ardhi yote ya Manya Ranchi ili hali sehemu ya eneo hilo ambalo alimilikishwa kwa nguvu ya rushwa pia hajaliendeleza kulingana na matakwa ya mkataba.
Soma pia: Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15