Familia yake wanataka kunitolea mahari

Kama wanapata matunzo bila shida na unaweza kuwasiliana nao, kausha tuu, kaolewe na jamaa mpya anzisha familia nyingine then utakuwa wanakuja kwako hata likizo.
 
Inakua kama fidia ili watoto wakubalike katika familia
Fidia ni fidia mahari ni mahari mbona unachanganya habari mkuu TASLIMA toka lini mahari ikawa fidia ni katika muktadha upi!?
Eti kama fidia....[emoji23][emoji23]

Mahari ni kiasi cha pesa au kitu kitolewacho na muoaji kwa wazazi/walezi wa binti kama ishara ya asanteh kwa wazazi/walezi wa binti husika ili apate ridhio la wazazi hao ili aweze ishi na binti yao.
 
Kwa Wasambaa huko Tanga, kunq kitu wanaita UKOMBO, nazani kwa kiswahili ni KUKOMBOA.

Ni gharama za pesa anazolipa baba/upande wa baba endapo hakugharamia matunzo ya mtoto tangu azaliwe, pesa hupokelewa na mama au upande wa mama
 
Aiseeee Kumbe!!!!.
 
Kwaiyo kwa lugha nyingine ulizalia nje ya ndoa sio? 😃😃😃😃
 
wewe si ndo umekutana na handsome mwanza unataka kumgea kipochi manyoya wewe, unataka kumsaliti jamaa yako ambaye mna mipangf ya baadaye?
 
Ndo kaenda Mwanza,kadata tena,dadeeki.... huyu ni kuzalisha tu na kukomboa watoto.Huyu ni team mikuyenge.
Waambie sio mahari watoe waambie mi fidia ya wewe kuzalishwa bila kukuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…