Familia yake wanataka kunitolea mahari

Familia yake wanataka kunitolea mahari

Mmmmmmhmn hilo toleo la wanaume vilaza liliacha kutolewa miaka ya 1980. Kuanzia miaka ya 1990 kulitolewa toleo jipya la wanaume ambao upuuzi wa kuwekeana mitego ya malezi ya watoto wa wanaume wengine hauwaingii.

Yaani wewe ukapate watoto zaidi ya m'moja na mtu ambaye mnafanya maamuzi hayo kizembe zembe tu bila kutazama hatima yenu huko mbeleni halafu ukisha ya koroga unaanza kutumbua macho na kutaka huruma za jamii.

Hiyo haipo babu. Aliyekatika kiuno na kumwaga bao ndie atalea watoto wale. Uanaume ni kuzaa tu hovyo kama ng'ombe wa nyama ila kulea mnaanza sukumia vijana wa watu. Mxiem [emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za eid pili waungwana,

Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.

Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.

Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.

Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.

Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.

Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano?
Waachie hao watoto si damu yao we utazaa wengine
 
Kimila Mwanamke akishalipiwa mahari ndio tayari kashaolewa huyo, kinachobaki ni sherehe tu.

Wamesema wanataka kumlipia mahari na sio kulipa fidia au kugomboa watoto.

Wanataka wauwe Ndege wawili kwa jiwe Moja yaani kujihakikishia watoto wameingia kwenye mamlaka yao na Mwanamke hatoki kwenye familia yao.

Maana yake wanamtaka mkamwana wao hivyo Ndoa ni lazima hapo ila mahusiano yenu kila mmoja yatateteleka na kuvunjika
Hapo kuna changamoto ok wakweli
 
Acha kuhangaisha watoto.
Habari za eid pili waungwana,

Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.

Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.

Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.

Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.

Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.

Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano
 
Kama wanaishi poa kwa bibi yao acha waishi huko wewe nenda kaolewe.
Ishu hapo ni watoto, uamuzi wowote kati ya wako au wakwao utakuletea shida hasa wewe binafsi..

Waambie ukweli kua una mtu wako na kama ikiwapendeza wakupe watoto ama lah uwaache waendelee kuishi nao. Na kama unaona sio waelewa basi suala lako la mahusiano usiwaambie ila waachie watoto wakae nao.
 
Hizi ni kauli ambazo zinakupa ishara huwa huko mbeleni huyu mwanamke atakuwa bado analeta mazoea na huyu jamaa na pengine wanaweza kuendelea kwa usiri.

Wanawake wa siku hizi wanapenda sana mambo ya hovyo hovyo. Mahusiano ambayo hayana mbele wala nyuma.
Tukisema single mother kichefu chefu wanawaka
 
Hapo kubali ili waje kupata stahiki zote upande wa Baba yao.
Hivyo ni kisheria...
Nimecheka sana hii comment yako ndugu nafurahi kusoma mawazo ya aina tofauti humu ila hii yako ni kali ya mwaka, you're not right at all.

Why akubali?
Hao wazazi ni wapuuzi ikiwa mtoto wao ni mkristo kwa kutoa ushawishi wa namna hiyo.

Kama ishu ya watoto wa nje ya ndoa kutambulika na kupata stahiki yao RITA ipo, wamshauri mtoto wao mapema sana aende akaandikishe warithi wake kupitia wosia au waende kwa mwanasheria kwasababu hakuna anayejua kesho sio blah blah za kutaka kumbania mwanamke wa watu asipate neema ya ndoa ya halali na mwanaume mwingine ikiwa mtoto wao ana ndoa ya awali ambayo ni halali.

Tambua hapa duniani kila mwanamke anataka mume wa kujenga nae familia huru isiyo na chembe ya wasiwasi wala migongano.

Hapo hao wazazi wanamuona mkwe (Mke wa ndoa ya halali) ni kizingiti aidha hawampendi kwa sababu wanazozijua wao aidha kagoma kulea watoto wa nje ya ndoa sasa wanamlaghai binti wa watu, mwisho wao watakuja jifia watamuacha matatizoni wakati huo mtoto wao yupo ndoani na mkewe wa halali wakifurahia maisha huyu anabakia kutangatanga kwa jutia kufanya maamuzi ya kipuuzi yatakayosababisha abakie kuwa mchepuko wa kudumu kisa wazazi walimuingiza mtegoni akanasa.

Binti huo mtego unasue otherwise utakuja jutia maisha yako yote uliyobakia nayo hapa duniani,achana na hao wazee fikra zao duni tu otherwise kama nyote ninyi ni waislamu ukubali ndoa ya mitala.
 
Mie ni mkristo mama,Tena mkristo Mkatoliki🙏mitala kwetu no 🤣 anyways ngoja mwaka,panapo mjaliwa uishe tuone yatakayojiri.Naendelea kusoma maoni yenu na definitely yatakayo endana na mipango ya maisha yangu nitayafanyia kazi 🙏
 
Niambie wewe fidia ni IPI kwa mwanamke uliomzalisha bila kumuoa na unataka watoto watambulike katika ukoo wenu.
Toa jibu fupi tuu usiandike gazeti.
 
Sasa utolewe mahari ya nini?

Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.

ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.

So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?

Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
 
Mie ni mkristo mama,Tena mkristo Mkatoliki🙏mitala kwetu no 🤣 anyways ngoja mwaka,panapo mjaliwa uishe tuone yatakayojiri.Naendelea kusoma maoni yenu na definitely yatakayo endana na mipango ya maisha yangu nitayafanyia kazi 🙏
ushakubali wewe!
Mimi vile nimekasirika kwa niaba sidhani hata ningetoa aina hii ya jibu!
WAMEKUONAJEE?
 
Sasa utolewe mahari ya nini?

Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.

ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.

So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?

Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
Umenielewa vibaya concern yangu ni watoto,saiv niliko naishi kama bachelor,na inanifanya mpweke sana 🙏
 
Sasa utolewe mahari ya nini?

Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.

ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.

So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?

Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
Cc TASLIMA usipoelewa alicho andika huyu basi utakuwa na shida ndugu
 
Kwann hanifai?kanikuta nishawazaa tayari na wala sikumficha
1. Je unafikiri atawapenda watoto wa mwanaume mwingine aliye zaa na wewe kwa 100%??

2. What if ukiyumba tena kiuchumi, atakua tayari kuwalea kama wanawe wakuzaa??

3. Je unauhakika gani kama wanao wakija kukaa na nyie (wewe na bwana mpya) watakua wenye furaha na bwana ambae sio baba yao??

4. Je unauhakika kwamba tabia na malezi walio lelewa watoto wako huko ubibini zitampendeza bwana wako mpya??

5. Je ukiishi na watoto wako, unadhani nini kitabadilisha kule ubabani pasiwe nyumbani kwao ama wasipatambue??

Ukinijibu hayo maswali nitakushauri beter nini ufanye ili upate amani kwa wanao na mume wako mpya.
Lakini kwa mtazamo wangu mdogo, nakuona kabisa ukiwa unachuki na mzazi mwenzio, na tayari moyo wako umesha kongwa na penzi jipya... and the same time unatamani kuishi na watoto wako ukihisi kwamba kwako ndipo watapata mapenzi malezi sahihi na misingi kama busara na Mungu atakavyo kuongoza.
Lakini kwa mtazamo wangu nadhani waache wanao wakae kwao (ubabani) kwasababu hakuna kwao zaidi ya huko walipo.
Pia usiruhusu watoto wako walelewe na baba ambae sio baba yao (labda kama hakuna namna nyingine).
Tatu usiruhusu hisia zikuamulie jambo kubwa kama hili, zaidi tumia akili zaidi.
 
Sasa utolewe mahari ya nini?

Yani how hamuwezi kuwa na maamuzi juu ya maisa yenu wenyewe.

ACHA WAKAE NA WAJUKUU ZAO wewe endelea na maisha yako na endelea kuwa sehemu ya maisha ya wanao.

So familia ikae kuamua kukutolea mahari kama wakina nani? Mahari manake nn? KAMA NI FAINI YA KUZAA NA KIJANA WAO, WAKATOE nyumbani kwenu si wanakujua? Wewe ukaseme KWENU kwani unapeleka mchumba?

Aliyekwambia mtoto akiwa kwa babu na bibi umenyang'anywa ni nani?
Au ndo unataka utolewe mahari kujustfy kuwa unatolewa mahari kwa ajili ya waytot. SIELEWI yani!
Mwalimu tatizo watu tunaandika mambo magumu kwa watu laini.
Samahani.
 
Back
Top Bottom