CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
iwe itavyokua Mazaaa unaonyesha Moyo wako unashinwa ugawa,yani umegotea kati kati
Jamaa mliezaa nae mwa mwanzo (unampenda) bila kujali kashaoa,na Jamaa ulienae sasa
nae unampenda,Yani kuna love uko nayo kwa mwanaume wako wa kwanza ambayo ni natural one
hiyo haina mauza uza wala kuigiza naiona yani ipo Paleee,SHIDA kuu namwonea huruma the Guy "kama umuitavyo"
kujiingiza kwa mtu mwenye connection na upande wa pili,yani (wa mume) Jamaaa alibugi na ataja juta maisha ake yotee.
Ki ufupi huwezi niambia unampenda mwanaume wako wa sasa,hata kama unampenda bado hajakuta percent za upendo uliona kwa Mzazi mwenzio.
issue yako iko very clear kwa Mwanamke mwenye misimamo yake na asie taka shobo na mzazi mwenzie,iko open kabisa na ni rahisi.
ila kwako inaonekana ngumu kutokana Uko njia panda,huku una "the guy" huku unamtaka Mume wako wa mwanzo,Patamu hapooo...
Makosa uliyakosea mwenyewe! Saivi Mimi nikisema nikushauri ntakwambia ACHANA na watoto fata maisha ako,endelea wahudumia watoto kama ulivyokua ukifanya kipindi umeyumba. KWISHA.
uki complicate zaidi,nakusemea kwa mke wa mzazi mwenzio maana unaonyesha una hamu ya hiyo HIMAYA bado,aje akucharue ufungue thread ingine unyoooshe maelezo.