Sasa sisi tunao kama hao wa IronbutterflyNitajulia wapi wakati mpaka sasa ata mtoto wa kusingiziwa sina na nina mika 43
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sisi tunao kama hao wa IronbutterflyNitajulia wapi wakati mpaka sasa ata mtoto wa kusingiziwa sina na nina mika 43
Hata Simba halei watoto wasio wakeWaache watoto waendelee kulelewa na Bibi yao..Wabibi ni Walezi wazuri sana..utakapowachukua means watalelewa na Dada utakapokua kazini of which they will be in highly risk of facing abuse unless otherwise you’re a PROUDLY HOUSEWIFE
HAKUNA MWANAUME ANAEPENDA KULEA WATOTO WA MWANAUME MWENZIE HUSUSANI AKIJUA KABISA MWANAUME MWENZIE YUKO HAI ..YAAN MWANAUME HUYO HAYUPO [emoji375]
Cases nyingi za Child abuse zinafanywa na Baba wa Kambo..don’t dare I repeat don’t dare
Hivi ni kwa nn sisiemu inang'ang'ania madaraka??ivi ni kwa nini watu hung'ang'ania watoto
punguza kihoro..mbarikaHivi ni kwa nn sisiemu inang'ang'ania madaraka??
Ukijibu hilo swali na mimi ntakujibu lako
Chakubanga wewe
Jibu swali kwanzapunguza kihoro..mbarika
Yan mimi kutaka kulea wanangu kwa ukaribu ndo ubinafsi?we wadhan watoto wakikua halafu wakafahamu nimekuwa siishi nao eti kisa nilikuja pata mwanaume mwingine si wataona niliwatelekeza?Nakushukuru kwa ushauri wako ila huyu Ironbutterfly ni mbinafsi na hasikii. Options zipo mbili tu. Kushikilia watoto-aachane na huyo bwana. Au ashikilie Bwana - watoto wabaki kwa bibi yao, atazaa wengine
Ukitolewa hiyo mahali utakuwa mke wa pili. Huyo mpenzi uliyenae yeye anasemaje?
Tutatoa ushauri wa kila rangi ila kitu cha muhimu ni kuwa hawara hatongozwi, namuonea huruma huyo mtu wako wa sasa anaishi na mke wa mtu.
Ungesema kabila la huyo mzazi mwenzio, maana kutolewa mahali kwa makabila mengine ni kukomboa watoto yaani wajulikane kiuhalali hapo kwa sasa wanajulikana ila wakitolewa mahali inakua kisheria zaidi yaani wanarithi Mali za baba yao sawa sawa na watoto walioko kwenye ndoaKwa upande wangu itaniharibia,we mtu wangu akijua nimetolewa mahari na baby dady atajisikiaje?
Miaka 8 ni mvulana au mscichana? na huyo wa miaka 4 ni jinsi ipi? Nataka nikushauri.Yan mimi kutaka kulea wanangu kwa ukaribu ndo ubinafsi?we wadhan watoto wakikua halafu wakafahamu nimekuwa siishi nao eti kisa nilikuja pata mwanaume mwingine si wataona niliwatelekeza?
Hata iwe kabila gani? Mahari inalazimishwa na upande wa mwanaume au upande wa mwanamke ndiyo wanapanga na kudai mahari! Hili uliliona wapi?Ungesema kabila la huyo mzazi mwenzio, maana kutolewa mahali kwa makabila mengine ni kukomboa watoto yaani wajulikane kiuhalali hapo kwa sasa wanajulikana ila wakitolewa mahali inakua kisheria zaidi yaani wanarithi Mali za baba yao sawa sawa na watoto walioko kwenye ndoa
Makabila mengine wanasema hela yakukoboa mtoto ni mahali mfano nilisikia watu wakigomaMkuu tofautisha mahari na hela ya kukomboa watoto
Nshomile🙏Ungesema kabila la huyo mzazi mwenzio, maana kutolewa mahali kwa makabila mengine ni kukomboa watoto yaani wajulikane kiuhalali hapo kwa sasa wanajulikana ila wakitolewa mahali inakua kisheria zaidi yaani wanarithi Mali za baba yao sawa sawa na watoto walioko kwenye ndoa
I am just too tired to explain ngoja nitarudi baadaeKuchanganya familia mbili zenye damu na koo tofauti huwa zinaleta shida sana, jaribu kufafanua hili kidogo.
Usikubali familia ikulipie mahali. Tafakari haya;Habari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.
Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.
Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.
Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.
Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.
Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano?
"Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma".Habari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.
Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.
Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.
Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.
Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.
Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano?
Mvumilie mkuu. Wanawake ni wabinafsi sanaWanao au wanenu?