Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
- Thread starter
- #21
Ohhh fidia ndio inakuwaje?Waambie sio mahari watoe waambie mi fidia ya wewe kuzalishwa bila kukuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhh fidia ndio inakuwaje?Waambie sio mahari watoe waambie mi fidia ya wewe kuzalishwa bila kukuoa
Kweli una haki ya kuishi na watoto wako. Ila kuishi na watoto wako kwa Bwana mwingine sio sawa kwa mila zetu. .Lol mila gani hizo,na wahaya nao wana hizo mila eeh,manake bwana yule ni mhaya 🤔
Hiyo kukutolea Mahari kisheria ni kuwahalalisha ( Legitimize) hao watoto watambulike katika familia yao.
Kama hao wazazi wana mtazamo kama wangu, ikiwa wanataka kutoa mahari ili uolewe na jamaa hiyo ni issue nyingine.
So rudi waulize wanakutolea mahari kwa minajili gani?
Basi fidiaMkuu tofautisha mahari na hela ya kukomboa watoto
Lol kwahiyo nikaanze moja?
🤣🤣 Ahh gily kuzaa na bwana yule haikuwa bahati mbaya si unajua mambo ya ujana na ,mbingu tu hazikupanga tuoane🙏Kweli una haki ya kuishi na watoto wako. Ila kuishi na watoto wako kwa Bwana mwingine sio sawa kwa mila zetu. .
Ulivyowambia unataka watoto wako walikujib vipi? ukiongea na bwana mwenzako anasaje?
Ila unazaa na mtu watoto wawili leo unajifanya kama ilikuw bahati mbaya twice 🙃
Basi fidia
Msije kuwa mnapasha viporo halafu unataka msaada wa ushahuri Hawezi kuwasusa huo ni mtego tu. Ni vyema watoto wakakulua nyumbani kwao Ila ujombani hakuna urithi kabksa. .🤣🤣 Ahh gily kuzaa na bwana yule haikuwa bahati mbaya si unajua mambo ya ujana na ,mbingu tu hazikupanga tuoane🙏
Wamenambia nikiwachukua watoto bwana yule atawasusa,ndo wakaja na wazo hilo la mahari.
Hawakutolei mahari ili wakuoe, wanakutolea mahali ili kukomboa watoto wao.
NI SAWA.
#YNWA
Bado wadogo,miaka 8 kwa mi 4Msije kuwa mnapasha viporo halafu unataka msaada wa ushahuri Hawezi kuwasusa huo ni mtego tu. Ni vyema watoto wakakulua nyumbani kwao Ila ujombani hakuna urithi kabksa. .
Kama mwanzo wakikufanyia hisani ya kuwatunza na kuwalea usiwanyang'anye na wao wajue wewe mama yao🙃
Ila watoto umewauliza wanatakaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuanza upya sio kazi rahisi hivyo
Ni mtu mwema hawezi kuwatesa watoto,mie nahitaj kuwa karibu na wanangu basi.Ila kwenda kwa bwana mpya na watoto wako awalee na mateso juu alaf hapo kumbuka kunamambo ya sirini wnafanyaga wa baba wakambo upinde kwaiyo kwako ni rahisi ivo
Kama wadogo huwezi kuwauliza? waulize pia washirikish je wanataka kuishi hapo au uishi nao🙃Bado wadogo,miaka 8 kwa mi 4
Ni mtu mwema hawezi kuwatesa watoto,mie nahitaj kuwa karibu na wanangu basi.
Kama wadogo huwezi kuwauliza? waulize pia washirikish je wanataka kuishi hapo au uishi nao🙃
Ila huyu wa miaka 4 alipaswa kuwa mikononi mwako bado mdogo nawaza ulimgawa akiw na umri gani
Hapana ni mtu mstaarabu sana,alikuwa bf wangu kitambo tukapotezana after high school,tumekuja kutana tena tukiwa na watoto tayari.Majuto ni mjukuuu neno ningejua huja mwisho wa safari
Je unatak kuwatoa watoto kwa malezi ya bibi yao ili uwaweke kwenye malezi ya dada wa kazi?Wanataka tuishi wote hasa mkubwa,nikimwuliza anataka nimchukue ila anamwogopa Bibi yake,kwani amemkataza kuja kwangu,huwa ananisihi niwe naenda kuwatembelea mara kwa Mara.Mdogo nilimkabidhi akiwa na miaka 2.5,nilipata changamoto mbaya sana,hivyo option ikawa mama mkwe anisaidie jukumu hilo la malezi,kwahilo namshukuru 🙏ila ndo nawahitaj watoto sasa,nishakaa sawa,huku niliko naishi kama bachela tu,of which imenifanya mpweke sana.
Hapana ni mtu mstaarabu sana,alikuwa bf wangu kitambo tukapotezana after high school,tumekuja kutana tena tukiwa na watoto tayari.