Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media
Cheka Plus inakuja kwa kasi sana ikiwa na maudhui ya kipekee kabisa ambayo hayajawahi kufikiriwa na kituo kingine chochote cha runinga ama redio. Maake hata Bongo Flaver zinazopigwa pale ni zenye maadili kwa wingi, melody tamu tamu pasi na kujali mwaka ambao ngoma hizo zilikuwa released, tofauti na Channel nyingine ambazo hutuwekea burudani ya miziki mibovu kwa kile tunachokiita nisipoicheza, flani atanionaje. Ndio channel pekee ambayo ukiwa nayo serious inakuwa dawa ya mawazo, maake muda wote unakuwa ni wa kucheka tu. Pongezi za dhati zikufikie Mr. Coy Mdudu, hakika umeupiga mwingi
Cheka Plus Ongezeni vipindi vyenye ubunifu zaidi
Mmeanza na Bamba live, lakini kuna yule jamaa kama sikosei ni Lyupyana (Yule wa Eehe, Pameanza kuchangamka), pia series za Mweusi Family (Steve Mweusi na Ndaro) ingependeza zaidi kama zitakuwepo ili tuzidi kucheka tu
Cheka Plus ibueni vipaji vya vijana wa kitanzania. Msiishie tu kuibua Comedians, ibueni na vipaji vingine kama muziki, rasmi muanze kupokea Official Videos za Wasanii Chipukizi, mpembue kama zinakidhi ama kutokukidhi matakwa ya media. Zile zinazokidhi ziende hewani kwa gharama ambayo ni affordable kwa vijana hao wa kitanzania i.e kama Trace Naija inachofanya
Animation Logo ya Cheka Plus inaboa sana
Hii inasikitisha sana, haina ubunifu wala mvuto wa aina yoyote ile, movements za kile kiemoji unaboa sana na kuumiza macho. Em tafuteni Amimation Logo fupi fupi kama ile ya Mr. Coy kwenye Cheka Tu ya "Ladies and Gentlemen Put Your Hands Together For 😂Tu 😂Tu"
Ni hayo tu...