Unaleta vitu vya kukariri tu huo uthibitisho hata haujui unafananaje hata ukigewa, umekuwa wimbo tu uthibitisho uthibitisho.Thibitisha uwepo wa Mungu achana na blabla kama hauwezi ukiakaa pembeni sio kwamba umeshindwa ni wewe haujui tu.
Unaweza kupotezea piaSasa Nakuthibishiaje Wakati Mimi Sijathibitisha Kwamba Naongea Na Mtu Wa Aina Gani.
Kama Jukwaa Huru Mbona Hamtaki Kuwaacha Waamini Mungu Waandelee Kumwamini Kutwa Kucha Mnawadai Uthibitisho?Hili ni jukwaa huru nina haki ya kuhoji chochote bila matusi ndio maana unaona sijawahi kupigwa ban🤣🤣🤣😅
Thibitisha ili tujue kweli mimi sijui uthibitisho upojeUnaleta vitu vya kukariri tu huo uthibitisho hata haujui unafananaje hata ukigewa, umekuwa wimbo tu uthibitisho uthibitisho.
Ingekuwa uthibitisho ndio unafanya watu kama nyie msikubali uwepo wa Mungu basi kusingekuwa na atheists ambao wangekuja kukubali uwepo wa Mungu maana hadi leo hakuna huo uthibitisho ndio maana hadi sasa wewe bado unaimba wimbo wa uthibitisho.
Wewe ndio unapangia watu namna ya kuishi, mtu akisema kuna Mungu wewe unakereka unamtaka akuthibitishie wewe. Wewe nani na ili iweje?Jf wewe ukiandika Mungu sijui kitu gani nitaomba uthibitishe kama hauwezi unakausha tu., sijaona kama ina afya wewe kunipangia namna ya kuishi mkuu😆
Umeshikiwa panga au bunduki mkuu? Unaweza kuendelea kuamini na kuhubiri injili bila kunijibu mimi au mwingine.Kama Jukwaa Huru Mbona Hamtaki Kuwaacha Waamini Mungu Waandelee Kumwamini Kutwa Kucha Mnawadai Uthibitisho?
Kama ni ya kurithi ndio hayana tiba?Pole sana Mkuu, naona wakati mwingine hayo mambo ya kurithi
Tatizo Mna Kihere Here.Umeshikiwa panga au bunduki mkuu? Unaweza kuendelea kuamini na kuhubiri injili bila kunijibu mimi au mwingine.
Wamekariri tu kama wimbo, uthibitisho uthibitisho.Wanataka Kuwa Maarufu Na Wengi Wao Sufuria Zimetoboka.
Ishi unavyotaka humu sio kanisani wala msikitini kila kitu ni ndio.Wewe ndio unapangia watu namna ya kuishi, mtu akisema kuna Mungu wewe unakereka unamtaka akuthibitishie wewe. Wewe nani na ili iweje?
Wewe hujui????Kama unajua sehemu sahihi msaidie huyu ndugu yetu
Tulia kwenye kile unacho kijua ila ukishindwa kuthibitisha unavunga tuTatizo Mna Kihere Here.
Mtu anakuta mada ya inahusu mambo ya imani ila anaingia anaanza kudai uthibitisho et anasema haki yake, kaacha mada zengine huko ila habari za Mungu tu ndio kakimbilia kwenda kudai uthibitisho.Kama Jukwaa Huru Mbona Hamtaki Kuwaacha Waamini Mungu Waandelee Kumwamini Kutwa Kucha Mnawadai Uthibitisho?
0624 117 794Kwanza WEKA NAMBA YAKO YA SIMU HAPA KWA UMAKINI MKUBWA TUKUPE CHOCHOTE
Sasa kama hujui ukoje kwa nini unakimbilia kudai kitu ambacho hata hujui kikoje?Thibitisha ili tujue kweli mimi sijui uthibitisho upoje
Inaelewa maana ya jukwaa huru kweli? Nimekutega kizembe sanaSasa kama hujui ukoje kwa nini unakimbilia kudai kitu ambacho hata hujui kikoje?
Ndo hasa napambania hili swala mpaka muda huu .Ushauri wangu kwako usiwapele Kwa waganga wa kienyeji mpaka madaktari wa matazizo ya akili hospital waseme vipimo vyao havioni tatizo
Sasa kwanini unadai uthibitisho mantiki yake ni ipi? Ni wazi unakereka basi kuona mtu anasema Mungu yupo ndio maana unashindwa kupotezea kama unavyopotezea mengine.Umeshikiwa panga au bunduki mkuu? Unaweza kuendelea kuamini na kuhubiri injili bila kunijibu mimi au mwingine.