Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu.

Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.

Five generations.jpg
 
Bibi yangu mzaa mama, ndo ana vizazi 6.
Ana 97yrs now.
 
Back
Top Bottom