MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jul 17, 2024 #1 Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Jul 17, 2024 #2 Ukiwahi kuzaa na firsrborn awe wa kike hii inawezekana tofauti na tulioanza na madame, Halafu mbona 55 kazeeka kuliko mama yake mwenye 71
Ukiwahi kuzaa na firsrborn awe wa kike hii inawezekana tofauti na tulioanza na madame, Halafu mbona 55 kazeeka kuliko mama yake mwenye 71
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jul 17, 2024 #3 MKATA KIU said: Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. View attachment 3044614 Click to expand... Id yako imenikumbusha mbali kweli kuhusu mwalimu MKATAKONA.
MKATA KIU said: Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. View attachment 3044614 Click to expand... Id yako imenikumbusha mbali kweli kuhusu mwalimu MKATAKONA.
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jul 17, 2024 Thread starter #4 Kapeace said: Ukiwahi kuzaa na firsrborn awe wa kike hii inawezekana tofauti na tulioanza na madame, Halafu mbona 55 kazeeka kuliko mama yake mwenye 71 Click to expand... lifesyle mbovu na magonjwa yanazeesha mapema.
Kapeace said: Ukiwahi kuzaa na firsrborn awe wa kike hii inawezekana tofauti na tulioanza na madame, Halafu mbona 55 kazeeka kuliko mama yake mwenye 71 Click to expand... lifesyle mbovu na magonjwa yanazeesha mapema.
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Jul 17, 2024 Thread starter #5 Moisemusajiografii said: Id yako imenikumbusha mbali kweli kuhusu mwalimu MKATAKONA. Click to expand... Mimi sio Mkata kona. Mimi ni mkata kiu
Moisemusajiografii said: Id yako imenikumbusha mbali kweli kuhusu mwalimu MKATAKONA. Click to expand... Mimi sio Mkata kona. Mimi ni mkata kiu
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jul 17, 2024 #6 MKATA KIU said: Mimi sio Mkata kona. Mimi ni mkata kiu Click to expand... Naaam.Nakuona jicho moja lilivyokaa tenge kuutafuta uelekeo sahihi.
MKATA KIU said: Mimi sio Mkata kona. Mimi ni mkata kiu Click to expand... Naaam.Nakuona jicho moja lilivyokaa tenge kuutafuta uelekeo sahihi.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 17, 2024 #7 Bibi yangu mzaa mama, ndo ana vizazi 6. Ana 97yrs now.