GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Wasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi.Mkuu bado unaniacha gizani ujue.Hebu funguka bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi.Mkuu bado unaniacha gizani ujue.Hebu funguka bana.
Nyundo uvunja jiwe mwisho uvunjika yenyewe
Ukitumika tu 'Kimafia' nawe hutodumu.Ndo umeona utumie Code. Hii code fafanua tuelewe maana ngumu sana
Asante kwa kufafanua angalau naanza kupata mwanga kwa mbali.Ukitumika tu 'Kimafia' nawe hutodumu.
Endelea Kunielewa hivyo hivyo Mkuu.Yaani nimekuelewa sana
Wasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi.Asante kwa kufafanua angalau naanza kupata mwanga kwa mbali.
Wasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi
Hayo mazito sanaWasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi.
Kwani kuna Mtu kazushiwa Kufariki TZ?Watu wa sosholoji na saikoloji tafadhali sana tuletee mtaala wa shahada ya kwanza ya usanifu katika unafika, fitina, uzushi na hujuma itatufaa sana kipindi hiki!
Msishindwe na wenzenu wa Afrika Kusini walioanzisha shahada ya Witchcraft!!!
====
Si jambo jema kuzusha habari!
Walisema ikibidi hata Kuroga wataroga.Hayo mazito sana
Basi yanatisha sana.Walisema ikibidi hata Kuroga wataroga.
Mimi naunga mkono hoja yako.... Kuniuliza swali hili ni kunipa mashaka kama uliandaa uzi huu mwenyewe ama umeandaliwa na shabiki wa Manchester United!Kwani kuna Mtu kazushiwa Kufariki TZ?
Japo ni Mtani wao ila wana Bifu nae tu.Basi yanatisha sana.
Vipi Mkuu nawe ni mwana Familia pua?Mimi naunga mkono hoja yako.... Kuniuliza swali hili ni kunipa mashaka kama uliandaa uzi huu mwenyewe ama umeandaliwa na shabiki wa Manchester United!
Duh! Kwa uhakika aina hii ya familia, familia pua, siijui. Ha ha ha! mimi ni Mtanzania.Vipi Mkuu nawe ni mwana Familia pua?
Sawa mkuu, nimekusoma.Wasukuma waliapa watalipiza tu Kisasi.
Uzi huu umetangaza Kifo cha Mkubwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KAMA KAFA KWELI TUPENI HABARI MAPEMA, ACHEN UONGO WENU MWISHOE MKAJA UMBUKA KAMA ILIVYOTOKEA KWA BWANA YULE,,[emoji23][emoji23][emoji23]...kuwen waz bnaa walikufa akina Michael Jackson, nyerer,bob marley, sembuse aooo[emoji849][emoji849][emoji849]
Huyo Muislam mdini ana kifaduro, muonee hurumaThread Content hii imemtaja Kikwete?