Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

Watu wa sosholoji na saikoloji tafadhali sana tuletee mtaala wa shahada ya kwanza ya usanifu katika unafika, fitina, uzushi na hujuma itatufaa sana kipindi hikI kudhibiti mambo haya i!

Msishindwe na wenzenu wa Afrika Kusini walioanzisha shahada ya Witchcraft!!!
====
Si jambo jema kuzusha habari!
 
Watu wa sosholoji na saikoloji tafadhali sana tuletee mtaala wa shahada ya kwanza ya usanifu katika unafika, fitina, uzushi na hujuma itatufaa sana kipindi hiki!

Msishindwe na wenzenu wa Afrika Kusini walioanzisha shahada ya Witchcraft!!!
====
Si jambo jema kuzusha habari!
Kwani kuna Mtu kazushiwa Kufariki TZ?
 
Mimi naunga mkono hoja yako.... Kuniuliza swali hili ni kunipa mashaka kama uliandaa uzi huu mwenyewe ama umeandaliwa na shabiki wa Manchester United!
Vipi Mkuu nawe ni mwana Familia pua?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KAMA KAFA KWELI TUPENI HABARI MAPEMA, ACHEN UONGO WENU MWISHOE MKAJA UMBUKA KAMA ILIVYOTOKEA KWA BWANA YULE,,[emoji23][emoji23][emoji23]...kuwen waz bnaa walikufa akina Michael Jackson, nyerer,bob marley, sembuse aooo[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Uzi huu umetangaza Kifo cha Mkubwa?
 
Back
Top Bottom