๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel ๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
 
Drive wamekasirika kwa Israel kutozuia na kuanzisha vita kamilii na Hezbollah na Lebanon sio kingine nyie muslims fanatic
 
Paulo huyo alilitukuza kabila lake, sio nyie wafipa . Afu Mungu hajawahi kusema anataifa wapi alisema anataifa? Huyo Paulo mafunzo yake ni tofouti kabisa na mafunzo ya Yesu, na wanafunzi wa Yesu.

Huyo mnaye muita mtume wenu wakristo limeota shetani likasema limemuota Yesu ๐Ÿ˜„ Vipi umuote mtu hata humjui na hujawahi kumuona maishani kwako.
 
Kwamba iron dome ni mzinga unarusha makombora,wewe utakuwa kiazi mbatata hujui hata iron dome ninini?

USSR
Iron dome hurusha makombora,Mara kadhaa yalidondokea makazi ya wayahudi,we ulidhani hurusha mawe au golori!?
 
Yahudi mweusi hataki kuamini jana msemaji wa Jeshi la Israel eti anajifanya kutangaza kuwa watalipa kisasi wamezoea kuuwa watoto wa Gaza kisha wanasema uongo hawa jamaa wamewafukuza msibani.
Hata wamekataa kufanya investigation sababu wanajua wazi Iron Dome yao imefail.

Kujidai kupiga Lebanon na yeye asubiri leo moto wa Hezbullah afu kuna fununu Yemen katika hizi siku tatu kama sio leo hizi zijazo ata wapelekea moto hawajawahi kuona.
 
huu mchongo wa kudondoka iron dom ni wa israel wanatafuta sababu ya kuforce vita...kuna lengo kuu halijatimia.
Israhell kaskazini wazayuni wamehamishwa kisa kipigo tokea kwa hizbullah
Yaani kama hio bado haijawa sababu ya kuanzisha vita sidhanii kama kutakua na sababu nyengine yakuanzisha vita zaidi ya hio
Watu waliokufa kutokana na mashambulizi ya hizbullah huko israhell nizaidi ya walokufa jana pale druze
siombei vita ila israhell anataka afiche udhaifu wa mifumo yake ya ulinzi wa anga kwakusema kwamba hizbullah ndio wameshambulia kumbe dunia nzima imejua
Mwisho kama hizbullah wangekua walaini laini kama hamas basi muda huu tungekua tunaona full scale war pale lebanon
 
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel ๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ndio ujinga mlomezeshwa chachi ๐Ÿค”๐Ÿ˜€๐Ÿค”
 
Ndio ujinga mlomezeshwa chachi ๐Ÿค”๐Ÿ˜€๐Ÿค”
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel ๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
 
Paulo huyo alilitukuza kabila lake, sio nyie wafipa . Afu Mungu hajawahi kusema anataifa wapi alisema anataifa? Huyo Paulo mafunzo yake ni tofouti kabisa na mafunzo ya Yesu, na wanafunzi wa Yesu.

Huyo mnaye muita mtume wenu wakristo limeota shetani likasema limemuota Yesu ๐Ÿ˜„ Vipi umuote mtu hata humjui na hujawahi kumuona maishani kwako.
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel ๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
 
Drive wamekasirika kwa Israel kutozuia na kuanzisha vita kamilii na Hezbollah na Lebanon sio kingine nyie muslims fanatic
Wewe Mlokole JF siyo sehemu porojo mnavyodanganywa kwenye vigango basi unajua kila sehemu utadanganya.
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Families of victims in Majdal Shams in the Golan expel Israeli government ministers from the funeral site of the dead, including Smotrich after it becomes clear that the fallen missile from Iron Dome killed the civilians
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Weka na wewe ushahidi wa maneno yako ukiweka najitoa JF.
 
Taifa teule Israel ubarikiwe
Watabarikiwa wanaokubariki ,watalaaniwa wanao kulaani.
Wewe ni mteule maana kwako tumepata masihi aliyeukomboa ulimwengu mwenye ufalme mabegani mwake. Mungu mwenye nguvu.
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel ๐Ÿ™
Ubarikiwe Israel๐Ÿ™
Wafipa pombe zimewapanda vichwani ๐Ÿ˜„
 
Wewe Mlokole JF siyo sehemu porojo mnavyodanganywa kwenye vigango basi unajua kila sehemu utadanganya.
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Families of victims in Majdal Shams in the Golan expel Israeli government ministers from the funeral site of the dead, including Smotrich after it becomes clear that the fallen missile from Iron Dome killed the civilians

Weka na wewe ushahidi wa maneno yako ukiweka najitoa JF.
Hilo liongo sana kama babu yake Paulo linaweza ku quote Qur'an inaongea kitu kingine na lenyewe likasema inaongea vile linataka lenyewe, hana tofouti huyo dogo na babu yake Paulo kwa uwongo. Yesu anafundisha Mungu ni mmoja tu, babu yao anasema Yesu ni Mungu ๐Ÿ˜„
 
โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ

๐—›๐—ฒ๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—ฐ๐—ผ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—บ๐˜€ โ€œ๐˜„๐—ฎ๐—ฟ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ปโ€ ๐—ถ๐—ป ๐—ฐ๐—ฎ๐˜€๐—ฒ ๐—ผ๐—ณ ๐˜„๐—ฎ๐—ฟโ€ฆ

Hezbollah leader Nasrallah has approved war plans against Israel, which may involve deploying 150,000 Iraqi Militia Forces to the border and receiving significant military supplies from Iran.

๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น ๐˜„๐—ถ๐—น๐—น ๐—ต๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฒ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐˜€๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—พ, ๐—ฆ๐˜†๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป
 
Hio plan ipo zaman walisha jipanga hi vita ikianza ndio iwe mwisho wa Israel na bado kuna Yemen na yeye anataka apewe chance afike hapo.
 
โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ

๐—›๐—ฒ๐˜‡๐—ฏ๐—ผ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—ฐ๐—ผ๐—ป๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—บ๐˜€ โ€œ๐˜„๐—ฎ๐—ฟ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ปโ€ ๐—ถ๐—ป ๐—ฐ๐—ฎ๐˜€๐—ฒ ๐—ผ๐—ณ ๐˜„๐—ฎ๐—ฟโ€ฆ

Hezbollah leader Nasrallah has approved war plans against Israel, which may involve deploying 150,000 Iraqi Militia Forces to the border and receiving significant military supplies from Iran.

๐—œ๐˜€๐—ฟ๐—ฎ๐—ฒ๐—น ๐˜„๐—ถ๐—น๐—น ๐—ต๐—ฎ๐˜ƒ๐—ฒ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ ๐Ÿฎ๐Ÿฑ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐˜๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐˜€๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—พ, ๐—ฆ๐˜†๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—œ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป
Israeli alishapigana na nchi sita za kiarabu na kuwagalagaza vibaya sana sembuse hayo magaidi
 
Back
Top Bottom