Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo.
Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara.
Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie...
Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo wote unakuwa ni wa vizazi vya wapambanaji miaka nenda rudi na hawajui wanapambania nini 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Ndio maana kutoboa inakuwa ni ngumu sana.
Wakisha kusomesha ukapata ka degree basi ukajitegemee.
Unaanza maisha from scratch kabisa bila msaada , ila ukifanikiwa kdg tu ukoo mzima unahamia kwako.
Na hii ndo inasababisha life span ya waafrika kuwa ndogo, ushirikina,chuki, utengano wa familia, yaani full heka heka. Hii kitu imefanya familia nyingi za kiafrika kuendelea kuishi Maisha ya kimaskini.
Vita ya Umaskini inahitaji kurithishwa silaha ulizotumia kupambana hakikisha unakiachia kizazi chako ili kianzie ulipo ishia.
Tujifunze kwa Familia za kiarabu
Hii ni changamoto sana, ndo maana biashara nyingi zilizoanzishwa na wazazi zinakufa hivi hivi in the name of “ usitegemee utarithi hii biashara/duka, kajipambanie”