FAMILY MATTER: Nahitaji ushauri, nashindwa kufanya maamuzi...

FAMILY MATTER: Nahitaji ushauri, nashindwa kufanya maamuzi...

Ulimkosea, baada ya kusikia hizo lawama kwanini hukumpigia simu, kwa akili ya kawaida Kama Mara zote ulikuwa humkuti ingekuwa wampgia simu.
Halafu Kama kweli ulikuwa inakuuma walipotaka kuwapatanisha usingekataa hoja yako ya kukataa ni dhaifu ungeenda na usibishane Naye ukakaa kimya akatoa kinyongo chake ukaomba msamaha yakaisha.
Mambo ya familia yako so complicated Sana sikulaumu hata Mimi nina majanga yangu
 
sio kila kitu ni kwa kila mtu..Pengine hiki sio chako...Umeambiwa ni kisa kirefu. Tulia acha kulalama. La, usikisome kabisa.
Unataka ushauri na bado utufokee na kutuchimba biti?

Manina zako aisee.


Hebu nenda kwa Uncle wako ukamtembelee na wadogo zako pia. Ugomvi wake na Baba Yako haukuhusu.
 
Kazi ya daraja ni kuunganisha pande mbili tofauti, Sasa ni wakati wako Wewe kugeuka daraja na kuwaunganisha baba zako , Amini hilo litakuwa moja la jukumu bora kulitimiza hapa chini ya jua, Jitahidi lipa jema usilipe baya ( be positive all the time).
 
Fanya uend mkuu bila yy pengine ungekua unakula ugoro na kulewa. Kam vijan wa kijjn kwenu Japo sijui Kama hutumiii au unatumia

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Nenda na tengeneza njia ya kuwapatanisha hao Esau na Yakobo
 
Kama amekualika kwa nia njema please just go.
Safari yetu hapa duniani ni fupi sana,tujaribu kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima.
Nimekuelewa sana mkuu....you have a great personality.
Utafika mbali
Asante mkuu kwa appreciation yako..Nakuombea kila lililojema pia kwa upande wako.
 
Fanya uend mkuu bila yy pengine ungekua unakula ugoro na kulewa. Kam vijan wa kijjn kwenu Japo sijui Kama hutumiii au unatumia

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Situmii mkuu...Amefanya kitu kikubwa sana kwenye maisha yangu..Leo nipo hapa kwasababu yake..Mungu alimtumia yeye kunifungulia dunia...I love him so much.
 
Back
Top Bottom