Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.Ukoo wenu una wachawi au washirikina wabaya sana....
Anko wako ni either kalogwa asipatane na wewe ili wewe usifike mbali AU alikuwa anataka kukutoa kafara kakushindwa
asante...nimekuelewa mkuu.Wakati uncle wako anabifu na mzee wako, wala hukukuhusisha aliendelea kulitreat vizuri. Inakuwaje sasa hivi ww utake kujihusisha kwenye ugomvi wao?
Huo ugomvi ni wa mtu na kaka ake, sio wa ukoo. Wewe mtembelee uncle wako. Acha kujificha kwenye kichaka cha ugomvi wao ili usimtembelee.
Uko sahihi, na usahihi mwingine ni kwamba ni ngumu kukushauri wakati tumesikiliza upande mmoja, tunajua umeacha mangapi?Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Kati ya mawili aliyoongea huyo uliyem quote hakuna hata moja lisilo sahihi..ni imani potofu tu zake ndo zimamfanya akajibu hivyo.
Pengine alimsomesha kwa nia njema baadae ilipombidi kwenda kwa mtaalamu akaambiwa amtoe huyo huyo anayempendaMuone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.
Acha imani nyeusi.
Muone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.
Acha imani nyeusi.