FAMILY MATTER: Nahitaji ushauri, nashindwa kufanya maamuzi...

Nakubaliana na hili kuna nguvu ya kishirikina
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Kati ya mawili aliyoongea huyo uliyem quote hakuna hata moja lisilo sahihi..ni imani potofu tu zake ndo zimamfanya akajibu hivyo.
 
Ukoo wenu una wachawi au washirikina wabaya sana....

Anko wako ni either kalogwa asipatane na wewe ili wewe usifike mbali AU alikuwa anataka kukutoa kafara kakushindwa
Muone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.

Acha imani nyeusi.
 
asante...nimekuelewa mkuu.
 
Busara zangu...hazijafika.level.ya kushauri Mambo makubwa...naomba nikue kue kwanza
 
Tafuta majivu ya kitimoto yaliyochomwa, changanya na manii za msanii yeyote wa dansi, koroga kwenye maji oga, nenda hutadhurika, kazi etu sisi ni kuokoa dunia
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Kati ya mawili aliyoongea huyo uliyem quote hakuna hata moja lisilo sahihi..ni imani potofu tu zake ndo zimamfanya akajibu hivyo.
Uko sahihi, na usahihi mwingine ni kwamba ni ngumu kukushauri wakati tumesikiliza upande mmoja, tunajua umeacha mangapi?
 
Muone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.

Acha imani nyeusi.
Pengine alimsomesha kwa nia njema baadae ilipombidi kwenda kwa mtaalamu akaambiwa amtoe huyo huyo anayempenda
 
Uko sahihi, na usahihi mwingine ni kwamba ni ngumu kukushauri wakati tumesikiliza upande mmoja, tunajua umeacha mangapi?
Inawezekana uko sahihi...sina comment hapa
 
Muone sasa na huyu. Angekuwa anataka kumtoa kafara, asingejisumbua kumsomesha.

Acha imani nyeusi.

Ili uchawi lazima uwe na tabia mbili

1.roho nzuri sana na mtenda mwema machoni pa watu mchana

2.Roho mbaya sana na mtenda mabaya sana usku nyuma ya pazia.

Kuwa makini.
 
Reactions: T11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…