Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.

Hizo bdiyo ukisikia fikra za kimaskini.

Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.

Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe.

Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
 
Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele....
AlhamduliLlah, ulitaka niufie upagani? Unanchekesha.

Naona Kagame ni Muislam, au siyo?

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
 
Maendeleo Gani acha fix wewe! Huo umaskini wa akili na mawazo umeletwa na ma-ccm
Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
 
🤣🤣ndugu zetu ktk imaan wameuza bandari yetu,afu hawa jamaa ni wavivu toka zaman,wanapenda umwinyi, ndomana wameona wampe kagame bandari yetu,wao watulie wale urojo🙏
DPW TPA Dar. Mambo yamewiva 👇🏾

IMG-20230614-WA0000.jpg
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

Acha kuhorojoka bibi.
Hakuna mtu anapinga DP world kuwekeza.

Tunapinga mkataba wenye vipengele vibovu.

Mkataba hauna ukomo.
Mkataba pia wa awali hauvunjiki ukivunja unalipa hata kabla
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe. Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Anadhani kuwa karibu na mwarabu ni kuwa karibu na mungu wao ni hovyo Sana uyo Bibi;
 
Back
Top Bottom