Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Congo, model ya DP World - haitafanya kazi vyema.. Congo wana export ( minerals) kuna makampuni binafsi ya kimataifa yana mifumo yao ipo tayari... Kwenye import - kutokana na ukubwa wa nchi inakuwa vigumu kuweka kituo sehemu moja, kama walivyoweka Rwanda, ambayo ni nchi ndogo na unaweza kuweka kituo kuhudumia nchi nzima.... kitu ambacho watu hawaelewi ...DP world inataka kutumia bandari zetu kama feeding ports kwa bandari ya Jebel Ali-- Yaani JEBEL Ali iwe center kubwa ya mzigo...Kitu ambacho hukielewi ni kuwa wakazi wa wa Dar. Bandari ndiyo kipato chetu kikuu.
Unafikiri bila Bandari Dar ingekuwa jiji. La kutsjika Duniani? Na wakuja. Mngepakimbilia mkaacha makwenu? ?
Ndiyo tunaulenga huo wa Congo.
Dp World wanauteka duniani huko na kuuleta Dar.
huku mafia kuna sehem inaitwa jimboKuwatumikia binaadam wenzangu siyo lazima niwe na jimbo.
Vipi, umeona mambo ya DP World Kigali?
Mnafiki wewe udini tu umekukaa na hakuna zaidiHizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.
Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
HahahahWewe huwezi kuijuwa faida za bandari hata bahari umewahi kuiona?
Mkataba umeusoma Vizuri lakini?.Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]
Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.
View attachment 2656975
Mkataba na DP World una ubaya gani ?Acha kuhorojoka bibi.
Hakuna mtu anapinga DP world kuwekeza.
Tunapinga mkataba wenye vipengele vibovu.
Mkataba hauna ukomo.
Mkataba pia wa awali hauvunjiki ukivunja unalipa hata kabla hawajewekeza senti.
Nitolee udini wako hapa kikongwe, unatia hasira nyooo...zako
Kweli Kabisa mkuu,huyu atakuwa ametumwa na Wahuni wenzake.Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe. Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Usalama upi unahatarishwa?Wewe kibibi tuliza mihemko watu tuna akili zetu, hizo ni logistics zinazoendana na kuwinda bandari zetu.....hakuna bandari itamilikishwa kwa mgeni kwa sababu ni swala la usalama wa nchi.
Umemaliza...Wewe unajulikana kuwa MFIA DINI YA KIISLAMU. Hao wajomba zako Pori hata wangetangaza kununua Watumwa ungewakubalia kwakuwa kichwa chako kiko Brainwashed na Mlengo wa DINI YA KIISLAM kwa hiyo katika hili la DP WORLD huna hoja yenye mantiki bali umetanguliza Udini mbele.
Kwa kifupi hao WAARABU HAWAFAI ni matapeli sana kinachopaswa kufanywa na WATANGANYIKA ENDAPO DEAL LIKIENDELEA ni kuwaondoa kwa Nguvu na Masalia yao ukiwemo wewe. Time will tell Tanganyika siyo Shamba la Bibi kama ni Ufukwe wa Kujenga Gati la Bandari kawapeni huko Mchambawima. Over
Sina huo muda wa kuelimisha wapumbavu kama wewe.Usalama upi unahatarishwa?
Sina huo muda wa kuelimisha wapumbavu kama wewe.
Hahaha mtabadili Sana gear angani Ila muda utafika mtakubali tu Samia anaupiga mwingi!!Lengo la mkataba siyo baya, ila terms za mkataba ndizo mbaya tena damn bad!